Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...

Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
 
Sahivi inanyesha kwa radha ya kuandaa shamba. Panya wameacha kula kwa kupuliza wanakula kwa kasi sasa
 
Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...

Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Uhaini huu
 
Ulichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".
 
Ukweli ni kwamba chadema/Tundu lisu ni sehemu ya mapinduzi na waliahidiwa power kuna sababu kwa nini Mbowe aliwekwa ndani kuachiwa na kufuruliza Ikulu kila siku lkn ambacho pia hawakujia labda (chadema/Tundu Lisu) ni kwamba CCM waliwalipa fedha ndefu tu na as far as CCM goes wameshamalizana, huko tunakokwenda kugumu sana …
 
Back
Top Bottom