Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

Tena siyo hamna akili tu, tafiti zinaonesha kila watu watano basi wanne ni vichaa tTanzania hii. hiyo ni 80% ya Watanzania.

Kama wewe ni mjinga utakumbana na wenzako wehu kabisa. Kumbuka hilo.
SAWA mkuu wa mchongo... nashkuru kwa kunitusi maana umeni-include humo 😁👍🏾
 
Yaani kwa upande wangu nikisikia neno CCM popote hata kwenye redio au sehemu nyingine, Huwa nazima redio au naondoka. Maana nothing new kazi uchawa tu na upuuzi. Maana watu kama FaizaFoxy hata akinireply naona rubbish tu.
 
Ulichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".
Wewe ustadhat jina,Hakuna muislamu anaweza jibu watu hivyo namna hiyo

Ingawa uislamu ni dini ya juzi ,Miaka 50O baada ya ukristo na mtu mmoja tu aliyejua kusoma pale mecca
 
Kazi ya mwanasheria mkuu ni ipi?
Ila to be honest kama wewe ni Muislamu kweli,maana Uislamu ni dini ya haki.Kwenye mkataba wa DP serikali ya Samia imepuyanga,tena alichofanya ni uhaini,huwezi kumkabidhi mgeni njia zako kuu za Uchumi eti all Ports,Trade corridors, Special Economic zones et al to be operated under monopoly kweli!!!!
Na bado anatufunga kwamba hakuna kuvunja mkataba no matter what!
Huu ni uhaini,Mimi nashangaa ata wanakamatwa wakina Dr.Slaa kwa kusema ukweli!
Ingekuwa Dunia ya kwanza huko sasa hivi Samia angekuwa amejiuzuru na kushitakiwa!
 
Wamedanganyana,
katudanganya,
wanatudanganya,
tumedanganywa.

Wanadanganyana.

Chagua kwa makini 2025
 
..kauli yako nadhani ni ya KIBAGUZI.

..Wanyakyusa nao wameumbwa na MUNGU.

..Kwa hiyo MUNGU akiamua kushusha Nabii anaweza kuwa Mnyakyusa, Maasai, Mmakonde, Myemen, Myahudi,etc etc

..pamoja na hayo Mwamposa sio Nabii ila ninachoshangaa ni Samia Suluhu kupeleka fedha Kanisani kwa huyu bwana.
Kapeleka apate wapambe wa mkataba wa DP World
 
Discussion muhimu kama hizi kuna watu wanaingiza dini za watwana wao ili kuharibu...

Pumbafu.
 
Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...

Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Ni WANAFIKI, na hawataacha Kutumikia unafiki wao kwa sababu wao ni Wasaliti by nature.
 
Mzee Mwanakijiji, tuletee mrejesho, umepata jibu?


Ni nani miongoni mwetu hasemi ukweli? Na, ni nani miongoni mwetu katika kujitahidi kutokuusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli?

Tumedanganyana?

.....right back at ya...
 
Back
Top Bottom