Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wewe mzee siku nyingi sijakuona mpaka ikawa nakuulizia.Nilidhani umeenda.Lakini sasa umeibukia bandarini.Sijui kama una uwezo tena wa kuogolea mpaka ufukweni.Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?