Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
[emoji848][emoji3480]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ya Wakoreshi wa pale Saudia zamani ikiitwa HijaazUmedanganywa ukadanganyika.
Unajuwa maana ya neno Uislam?
[emoji38][emoji38][emoji38]Uhaini huu
Samahani, ukitoa kukaririshwa pia kuna kutumia akili yako ya kuzaliwa, yaani unatumia akili ya kawaida kupima ,kuchambua na kuamua. Wewe unaona hiyo inawezekana????Uislam siyo dini ya kigeni, ndiyo dini ambayo kila mmoja wetu anazaliwa nayo. Hata wewe.
Kumbe tikiti tu,hapo divai haipandiUnajimix kama Mpoto ili uonekane unatoa nondo kumbe hamna kitu.
😂😂😂😂Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Hivi vihoja vyenu kila mkielimishwa bado mnang'ang'ana tu!.. uislam ni Imani juu ya Mungu mmoja muumba wa kila kitu,kuamini akitumia mitume kila zama na Kuna maisha baada ya kifo ili watu walipwe kwa matendo yao,kutoa shahada ni kama kununua kadi ya uanachama ili wenzio wakutambueSamahani, ukitoa kukaririshwa pia kuna kutumia akili yako ya kuzaliwa, yaani unatumia akili ya kawaida kupima ,kuchambua na kuamua. Wewe unaona hiyo inawezekana????
Miongoni mwa nguzo kuu za uislamu ni kutoa shahada. Naomba ufafanuzi wa kina kuwa Adam alitoa shahada na anamfahamu Muhammad.
Profession of Faith (shahada)
The belief that "There is no god but God, and Muhammad is the Messenger of God" is central to Islam.
(https://www.metmuseum.org › learn › educators › unit-one)
Nb: Usitumie hadithi. Si unafahamu maana ya hadithi???? Hadithi njoooooo......uongo...........
Kaibuka baada ya padri kutiwa rumandeWewe mzee siku nyingi sijakuona mpaka ikawa nakuulizia.Nilidhani umeenda.Lakini sasa umeibukia bandarini.Sijui kama una uwezo tena wa kuogolea mpaka ufukweni.
Mzee mwanakijiji Hana alichoandika,ana maruweruwe Kama alpha blondy na "sweet fanta dialo"..Tena Bora alpha alielewekaNikitaka kukutag kumbe ushajialika.
Haya mimi mwanafunzi wako naomba nidadavulie Mzee Mwanakijiji ameelezea nini kwa undani?
RA ni suspect no. 1 wa kuwaingiza wenzake choo cha kike.Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Nipe basi huo ufafanuzi wa kina. Kunywa maji ili upunguze hasira.Hivi vihoja vyenu kila mkielimishwa bado mnang'ang'ana
Kwa hivyo hujaelewa!?..we ni msabato masalia!?Nipe basi huo ufafanuzi wa kina. Kunywa maji ili upunguze hasira.
Unavyo viongelea huvifahamu. Unachotakiwa ukielewe kwanza kabisa, ni nini maana ya Uislam?Samahani, ukitoa kukaririshwa pia kuna kutumia akili yako ya kuzaliwa, yaani unatumia akili ya kawaida kupima ,kuchambua na kuamua. Wewe unaona hiyo inawezekana????
Miongoni mwa nguzo kuu za uislamu ni kutoa shahada. Naomba ufafanuzi wa kina kuwa Adam alitoa shahada na anamfahamu Muhammad.
Profession of Faith (shahada)
The belief that "There is no god but God, and Muhammad is the Messenger of God" is central to Islam.
(https://www.metmuseum.org › learn › educators › unit-one)
Nb: Usitumie hadithi. Si unafahamu maana ya hadithi???? Hadithi njoooooo......uongo...........
Usiwe unajibu vijembe dhidi yako, unajiongezea mahasimu humu. Waafrika hatunaga akili!... wachache tunaijua hiyo hali na kuikubali na kujitahidi kukabiliana nayo na kuiepuka. Mtu ukimuona yuko against na wewe mpotezee! Ni WAPUMBAVU TU!Hata maana ya neno unajichetua" siielewi.
Hii "platform" ya jF yenyewe ukiisoma imeandikwa Kingereza. Kama ni wepesi ingewekwa yote kwa Kiswahili.
We unawajua waislam wewe?! Muislam mwenye kujitambua na kusimamisha dini na kuijua historia na mwenye kufuata sharti zote za Uislam huwezi kumuona pale. Wengi wanaoenda pale ni chokambaya wanatafuta ahueni za maisha na hawajijui namna ya kujikwamua. Huyo mwamposa wenu aliwahi kumset mtu akamlipa pesa aseme yeye na mkewe wametokea ZnZ wamekuja kwake kufata tiba, unajua ukweli halisi nyuma ya ule mchezo?! Wacha kuropoka! Huwezi kuwaona waislam pale!Kwa mwamposa wanaoenda kuchukua mafuta wengi ni waislamu
Things fall apart!Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
ni nini maana ya Uislam?
Uislam: Kunyenyekea, kutii,kujitoa kwa ajili ya matakwa au amri ya Mungu.(Tafsiri isiyo rasmi)Ukiielewa maana ya neno Uislam, utajikuta wewe ni Muislam usiyejielewa kuwa u Muislam.
Tena siyo hamna akili tu, tafiti zinaonesha kila watu watano basi wanne ni vichaa tTanzania hii. hiyo ni 80% ya Watanzania.Usiwe unajibu vijembe dhidi yako, unajiongezea mahasimu humu. Waafrika hatunaga akili!... wachache tunaijua hiyo hali na kuikubali na kujitahidi kukabiliana nayo na kuiepuka. Mtu ukimuona yuko against na wewe mpotezee! Ni WAPUMBAVU TU!
WalidanganyanaLazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?