FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kanisome vizuri nilichokiandika.Mwanakijiji kaeleweka, au wewe hujamuelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisome vizuri nilichokiandika.Mwanakijiji kaeleweka, au wewe hujamuelewa?
Unajidanganya nafsi yako.Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Nimekisoma na kukielewa kwa namna hii.... "umepanic baada ya Mzee Mwanakijiji kufunua siri kwa njia ya fasihi"Kanisome vizuri nilichokiandika.
Unaweza kuusoma na usiuelewe. Hapo ndio inakuja kazi ya washauri wazuri.Maza sidhani kama kausoma mkataba
Mswahili gani wewe huwezi kujieleza Kwa lugha yako adhimu ya Kiswahili ukaeleweka mpaka uchomekee lugha ya Kiingereza??Ulichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".
Finally...akiguswa Padri Slaa Tu lazima ujitokeze....Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Kuna wakati mawingu hutokea lakini hainyeshi, na kuna wakati hunyesha huku jua linawaka. Kwahiyo kuna wakati, mawingu huwa si dalili ya mvuaDalili ya mvua ni mawingu.
Matusi hayo.Nimekisoma na kukielewa kwa namna hii.... "umepanic baada ya Mwanakijiji kufunua siri kwa njia ya fasihi"
Hata nilipokuuliza kama umemuelewa Mwanakijiji bado hukunijibu kwa kuwa umepanic 😂
Huna hoja.Andika na kiarabu basi sio kile cha kwenye Qur'an
Hebu ni-pm Kama wamjua kwa jina halisiFinally...akiguswa Padri Slaa Tu lazima ujitokeze....
Akipigwa risasi Lissu ...kiimya..
Serikali ikisema katiba mpya sio kipaumbele kimya..
Lakini akiguswa Dr Slaa...Padri na katibu mstaafu wa Tec...lazima utasema chochote...
Wakati ule Mzee wa Upako Askofu Lusekelo alisema hivi mkimfunga Mbowe kwa tuhuma za Ugaidi ni mtanzania gani mjinga atawaimini? Na kama mkimwachia mtasema mlimkamata kwa kosa gani?Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Wauza nchi wanawadanganya wenye nchiLazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Nilisoma mitaala ya Muingereza.Mswahili gani wewe huwezi kujieleza Kwa lugha yako adhimu ya Kiswahili ukaeleweka mpaka uchomekee lugha ya Kiingereza??
Nasikia kuna Mmerekani ana mamilioni ya eka ndani ya mbuga, kweli?Wauza nchi wanawadanganya wenye nchi
Hata angeusoma, hana uwezo wa kuuelewa, yeye anaangalia percent zake tuMaza sidhani kama kausoma mkataba
CCM mnauza nchi kwa maslahi ya nani?Nasikia kuna Mmerekani ana mamilioni ya eka ndani ya mbuga, kweli?
Bado haujamalizana tu! Naona statement moja unaijibujibu.Unajidanganya nafsi yako.
Kazi ya mwanasheria mkuu ni ipi?Hata angeusoma, hana uwezo wa kuuelewa, yeye anaangalia percent zake tu