Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Uhaini huuLazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Basi kama ndo hivo ni nomaMaza sidhani kama kausoma mkataba
Ulichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Maza huenda alipewa maelezo ya mdomo tu kisha akasema sawa kazi iendelee ππMaza sidhani kama kausoma mkataba
Andika na kiarabu basi sio kile cha kwenye Qur'anUlichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".
Ni kama umeshapanic πUlichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".
RIP Shujaa Magufuli
Mzee Mwanakijiji kaeleweka, au wewe hujamuelewa?Ulichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".
Ni kama umeshapanic π
Walijidanganya? Ndio anauliza huyu Bush π