Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
SAWA mkuu wa mchongo... nashkuru kwa kunitusi maana umeni-include humo 😁👍🏾Tena siyo hamna akili tu, tafiti zinaonesha kila watu watano basi wanne ni vichaa tTanzania hii. hiyo ni 80% ya Watanzania.
Kama wewe ni mjinga utakumbana na wenzako wehu kabisa. Kumbuka hilo.
Neno ujinga umelileta wewe, mimi nikaku-kumbusha kuna tafiti ya wehu vile vile.SAWA mkuu wa mchongo... nashkuru kwa kunitusi maana umeni-include humo 😁👍🏾
Wewe ustadhat jina,Hakuna muislamu anaweza jibu watu hivyo namna hiyoUlichoandika Kingereza huitwa "the stupidity of pretending to be a literary man".
Ila to be honest kama wewe ni Muislamu kweli,maana Uislamu ni dini ya haki.Kwenye mkataba wa DP serikali ya Samia imepuyanga,tena alichofanya ni uhaini,huwezi kumkabidhi mgeni njia zako kuu za Uchumi eti all Ports,Trade corridors, Special Economic zones et al to be operated under monopoly kweli!!!!Kazi ya mwanasheria mkuu ni ipi?
Kuusoma ni jambo moja, je aliuelewa??.Maza sidhani kama kausoma mkataba
Ayaaa, yaani ulisoma mitaala ya wala kitimoto?!.Nilisoma mitaala ya Muingereza.
Kiarabu huko ndiko tunakoanzia.Ayaaa, yaani ulisoma mitaala ya wala kitimoto?!.
Kwani ya Kiarab haikuwepo??.
Unajitekenya mwenyewe na kujichekesha mwenyewe.Nenda Kawe kwa mwamposa kafanye utafiti utagundua zaidi ya 70% pale ni waislam
Kabisa hajasoma chochote siamini hata kidogo kama kausomaKuusoma ni jambo moja, je aliuelewa??.
Nadhani ye aliusaini tu baada ya wasaidizi wake kuwa 'wameshautazama' kwa mujibu wa maelekezo yake!.
Kapeleka apate wapambe wa mkataba wa DP World..kauli yako nadhani ni ya KIBAGUZI.
..Wanyakyusa nao wameumbwa na MUNGU.
..Kwa hiyo MUNGU akiamua kushusha Nabii anaweza kuwa Mnyakyusa, Maasai, Mmakonde, Myemen, Myahudi,etc etc
..pamoja na hayo Mwamposa sio Nabii ila ninachoshangaa ni Samia Suluhu kupeleka fedha Kanisani kwa huyu bwana.
Huyo kiongozi wa watanganyika ndio nani?Unateuliwa na Katiba uwe kiongozi wa watanganyika, halafu unaamua kuwafanyia kazi waarabu, hovyo kabisa.
PoleUnateuliwa na Katiba uwe kiongozi wa watanganyika, halafu unaamua kuwafanyia kazi waarabu, hovyo kabisa.
Ni WANAFIKI, na hawataacha Kutumikia unafiki wao kwa sababu wao ni Wasaliti by nature.Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu...
Mimi ninalo jibu langu...wewe je? Nani anamdanganya nani?
Kile hakina "fat-hia" ni mwendo wa nuun, miimu, na "lamalfu". Yaani kimejitosheleza.Andika na kiarabu basi sio kile cha kwenye Qur'an
Naona waafrika mnavyopigana vikumbo kuonyesha nani ni mweledi Wa lugha za waliotufanya watwana zama zile na wanaotufanya mazuzu zama hizi.Kile hakina "fat-hia" ni mwendo wa nuun, miimu, na "lamalfu". Yaani kimejitosheleza.