Swali limeulizwa huko:-kwanini wanaume hampendi kuongozana na wake zenu?

Swali limeulizwa huko:-kwanini wanaume hampendi kuongozana na wake zenu?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Nikweli kabisa ni % chache sana ya wanaume wanao ongozana na wake zao hata kama wanaenda kanisani. Utakuta mwanaume anajifanya anajua kutembea haraka haraka na Kwa hatua Ili mradi tu amuache mke wake mbali Kwa kisingizio unatembea pole pole.
FB_IMG_1729600800535.jpg
 
Nikweli kabisa ni % chache sana ya wanaume wanao ongozana na wake zao hata kama wanaenda kanisani. Utakuta mwanaume anajifanya anajua kutembea haraka haraka na Kwa hatua Ili mradi tu amuache mke wake mbali Kwa kisingizio unatembea pole pole.View attachment 3132672
Uwe unakuja vicoba huwa tunafundishana haya, sis tumekuwa wazembe, hatuogi, hatuvai vizuri, hatutumii unyunyu na wanaume wanashindwa kutumudu wakati mashangazi na singo maza wao wapo vizuri kila idara.
sisi tukiolewa tuna relax, ni kosa kubwa sana, Ma-shangazi wanakesha saluni.
 
Aisee wako wanaume wenzetu wa hivyo na mimi sijui ni kwanini,au wanakwepa vile vi maswali 'mbona yule mdada kakutizama sana mwanamke wako nini',au utasikia 'tununue kabisa na maharage ya wiki nzima na nazi na mchicha na mkaa,wakati anajua kabisa mnaenda kwenye harusi'...
 
Aisee wako wanaume wenzetu wa hivyo na mimi sijui ni kwanini,au wanakwepa vile vi maswali mbona yule mdada kakutizama sana mwanamke wako nini,au utasikia tununue kabisa na maharage ya wiki na nazi na mchicha na mkaa wakati anajua kabisa mnaenda kwenye harusi...
Minafikiri mwanamke anapaswa afaham aina na tabia za mume wake.
Mfano mie hatuwezi tukawa tumeenda Bar alafu aniulize habari za mboga sijui mkaa.... bladi hell..🤨
 
Back
Top Bottom