Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Nikweli kabisa ni % chache sana ya wanaume wanao ongozana na wake zao hata kama wanaenda kanisani. Utakuta mwanaume anajifanya anajua kutembea haraka haraka na Kwa hatua Ili mradi tu amuache mke wake mbali Kwa kisingizio unatembea pole pole.