Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Samia ni mzigo. Anatuharibia Tanganyika yetu.
Muda wa intervention umefika sasa.
Mlio karibu naye hebu fanyeni mambo.
Mnamkumbuka Indira Gandhi? 😉
Yaani tupo milioni 60+ halafu tunakubali kupelekeshwa na Samia?
Kaua maelfu ya Watanganyika na nyie mliopo huko mnamwangalia tu?
Shameful.
Ukitumia jicho la tai, baada ya kufeli yale mapinduzi ya Oktoba 29 chini ya kivuli cha maandamano, kilichofanyika na kinachofanyika ni CLEAN UP!!!!!!!Lakini endapo EN atafikishwa mahakamani kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29
Litatafutwa na hivi ameondolewa chamani wanapata nafasi ya kumpopoa vizuriNchimbi atafikishwa mahakamani kwa kosa gani?
EN ni 'insider'' anaijua CCM na alijua nini kinafuata. Alikuwa na habari zote! alikataa makusudi ili kusetiri uso wake siku zijazo!Na. M. M. Mwanakijiji
Njia ya mawasiliano ilikatwa na walipoenda kufungua bwawa la umeme mpasuko huo ulikuwa wazi. Alipewa nafasi ya kuimba pambio la sifa hakuimba. Kamba alijitundika mwenyewe.
EN hakutegemea Marafiki, alijifunza kutoka kwa Lowassa, Membe, Ndugai etc. Mahakamani kwa kesi gani? Uhaini!Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.
Naam!Utetezi wake ni Utanganyika wake. Kwamba kilichomgonganisha na Samia ni suala la yeye kutaka kutetea Tanganyika.
Nasikia eti EN aliitwa kwenye maadili hakwenda labda anakumbuka Horace Kolimba alipotoka kuhojiwa kwa kauli ya CCM imepoteza uelekeo kilichofuata ilikuwa sala ya WafuLakini siamini kama ataachwa afike huko; tusije kushangaa lile dudu la "Shinikizo la Damu" likagonga.
Ana kinga ya kutoshitakiwa...Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.
Angalizo hili limebeba picha ya kutisha ya huko twendako.Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli EN amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli haku
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Jichooooo laaa mbaaaliii saaanaa....isije kuwa michezo aende CDM kuimarisha upunzani fake wapate pesa na kutambuliwa kuwa kuna democracy???...1995 ya LYAYONGA....Angalizo hili limebeba picha ya kutisha ya huko twendako.
Ili apone, akimbilie akajihifadhi kwenye balozi za Ulaya, na sadaka pekee anayoweza kuwapa Watanganyika ni kuyaeleza bayana yale yote yaliyofichwa kwenye mauaji ya October 2025
Hiki kizee tangu enzi za Magu, kilifyatukaga akiliNchimbi atafikishwa mahakamani kwa kosa gani?
Aliyesema çcm hawana ubongo vichwani hajakoseaNchimbi ana historia ya jeuri kwa wakubwa zake. Ana misimamo ya kijinga. Anavuna alichopanda.
CHADEMA watakuwa mazuzumagic wakimpa nafasi kubwa. Watakuwa wamefeli kabisa kujifunza kutokana n a makosa yao wenyeweJichooooo laaa mbaaaliii saaanaa....isije kuwa michezo aende CDM kuimarisha upunzani fake wapate pesa na kutambuliwa kuwa kuna democracy???...1995 ya LYAYONGA....
Kwann unapenda kumtetea samuya kwa kigezo cha dini wakati iko wazi huyo mtu ni INCOMPITENT??HIZO NI AKILI ZA PAROKIA TUH ZINAWASUMBUA.
NA BILA SHAKA ALIESIMAMA NYUMA YA MR MACHO MAN NI PAROKIA HILO LIKO WAZI.
KWANZA UTAMBUE MR MACHO MAN SIYO WA KWANZA KUVULIWA UANACHAMA NA CCM KWA SABABU ZA USALITI NA HATAKUWA WA MWISHO.
ALIFANYA MAAMUZI KWA KHIYARI YAKE KUWA MWANA CCM LAZIMA AFUATE MIIKO NA TARATIBU ZAKE,KINYUME NA HAPO KAMA ANAHUJUMU ANAWEKWA PEMBENI ANALETWA MWINGINE KWA MASLAHI YA CHAMA NA TAIFA
TUNDU LISU HAWEZI KUACHWA KWA SHINIKIZO LA MITANDAO AU KWA NGUVU YOYOTE.
ANA KESI YA KUJIBU NA YUKO KIZIMBANI NA AMESEMA ATAJITETEA MWENYEWE.
MUACHE AJITETEE HILO SHINIKIZO NENDA KAMPE MKEO KAMA YUPO.