Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

Ukitumia jicho la tai, baada ya kufeli yale mapinduzi ya Oktoba 29 chini ya kivuli cha maandamano, kilichofanyika na kinachofanyika ni CLEAN UP!!!!!!!

Vifo vilitokea na vitaendelea kutokea plus wahusika wote kufikishwa mahakamani kama njia ya kifo ikishindikana. Lengo nafikiri ni kutoa LESSON!!!!!!!!!!!

..hakuna mapinduzi yoyote yaliyopangwa Oct 29.

..Mama ni mzembe na hana confidence.

..alikuwa na mapesa kibao ya kampeni kuanzia walizojipatia kupitia kashfa ya uagizaji wa sukari, na BILLION 200 alizochangiwa na mafisadi.

..sasa pamoja na mapesa yote hayo, kwa sababu hana confidence, akalazimisha Polisi, na Usalama, wamsaidie kushinda uchaguzi. Matokeo yake ndio ghasia na mauaji ya OCT 29.
 
Kwann unapenda kumtetea samuya kwa kigezo cha dini wakati iko wazi huyo mtu ni INCOMPITENT??
Kwa hivyo unataka kutuambia ni waislam woote ni vilaza??
Sio kweli, waislam safi (wasio wanafki) wako weengi tu mfano Sheakh Ponda, Prof. Assad nk
Jikite kwenye uwezo wa huyu mama, yeye mwenyewe alishasema form four alifeli!!.
Anafanya kitu kinaitwa “guilt tripping “emotional manipulation ya kufanya mtu au watu Wahisi au kujisikia vibaya kwa sababu kwa kumkosea mtu lengo la hii mbinu ni kucontrol au ku influence tabia ya mtu au watu hivyo kukwepa kuwajibika au kuwajibishwa..Hii mbinu inatumiwa sanaa,Hizi mbinu lazima Watanzania tujielimishe ili tuweze kukabiliana nazo,Kipindi hiki Dini na Jinsia zinatumika sana kuguilt trip watu,tujielimishe na kuelimishana ili tuweze kukabiliana bila kuleta utengano kwenye jamii.

Mbinu nyingine wanayotumia na wamekuwa wanatumia kucontrol Watanzania ni “Future Faking”Katiba mpya 2030,au Katiba mpya baada ya miaka miwili,au tukimaliza upatanisho basi Katiba tunawapa,Wanapata wanachotaka na kufanikiwa kucontrol watu na wengine wanatulia nazo kuwapa sapoti kabisa wakisubiri,Miaka au muda ukifika wanasogeza muda..Tunahitaji kujielimisha na kuelimishana sana
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kwe

Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Huko ndiyo kuchochea Moto wakuiteketezs Tanganyika kama walivyo uswisi ushenzi hip muda mrefu sasa,CCM ni janga kwa taifa hili.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ni kweli Emanda mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.

Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Yote yanawezekana kutokea kwa Nchimbi katika hii police state. Itahitajika nguvu kubwa sana ya umma kufanikisha mabadiliko maana kuna maadui wakubwa 2 wanaolitesa taifa kwa sasa - CCM dola na CCM mtandao huwezi pambana na moja ukaacha mwingine!
 
Kwann unapenda kumtetea samuya kwa kigezo cha dini wakati iko wazi huyo mtu ni INCOMPITENT??
Kwa hivyo unataka kutuambia ni waislam woote ni vilaza??
Sio kweli, waislam safi (wasio wanafki) wako weengi tu mfano Sheakh Ponda, Prof. Assad nk
Jikite kwenye uwezo wa huyu mama, yeye mwenyewe alishasema form four alifeli!!.

Tokea lini wanaparokia mkatambua usomi wa waislam nchi hii??

Assad mlisema kageuza ofisi ya CAG kuwa msikiti mkafanya hila mkamtoa.

Dau Mlisema kageuza Nssf kuwa madrasa mkafanya nongwa mkamtoa.

Samia hamuwezi kumpenda hata awaimbie kwaya.

Na hilo tunitambua vizuri

TUTASIMAMA NA RAIS SAMIA HATA KAMA MMESHIKWA NA MIMBA ZA CHUKI
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa k

Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Alikuwa pekee yake. Wewe hukusikia Katibu Mkuu akisema wajumbe wa kamati Kuu kwa pamoja wamefanya maamuzi ya Kumfukuza.
 
Ukitumia jicho la tai, baada ya kufeli yale mapinduzi ya Oktoba 29 chini ya kivuli cha maandamano, kilichofanyika na kinachofanyika ni CLEAN UP!!!!!!!

Vifo vilitokea na vitaendelea kutokea plus wahusika wote kufikishwa mahakamani kama njia ya kifo ikishindikana. Lengo nafikiri ni kutoa LESSON!!!!!!!!!!!
Na kadri wanavyofanya hivyo ndivyo wanavyotengeneza October 29 nyingine.
 
Kwa miaka kumi hii tumeshuhudia mambo mengi ambayo hapo kabla hatukuwahi kufikiri hata kwa bahati mbaya kwamba inawezekanaje??.

From kifo cha Rais akiwa Madarakani,kupigwa chini speaker,Kujiudhuru Vice presidents, Mauaji ya October 29,,ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Nk..

Rais alishasema kua Katiba ni kitabu kidogo kisicho na maana yeyote,unafikiri nini tunaweza kutegemea zaidi?presidential term limit kuongezwa??

namna gani tunaweza kuwatoa madarakani??Kura?Jeshi?maombi??

Yajayo hata hayafurahishi..
Halafu watu wanajifanya hawaoni. Hayo mambo yana maana kubwa sana.
 
Back
Top Bottom