Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Kwani inahitaji kosa lolote ili uonewe ?Nchimbi atafikishwa mahakamani kwa kosa gani?
Kwani inahitaji kosa lolote ili uonewe ?Nchimbi atafikishwa mahakamani kwa kosa gani?
Hizi mbinu zinatumika na CCM na Serikali kila Uchao,mbona hata Samia anazitumia sana tu,haijalishi ni nani anazitumia,muhumi ni kuwa na elimu na kutambua pale zinapotumika…Watu wengi sana wanahitaji kuzifahamu,Wananchi wenye ufahamu huzaa wapiga kura wenye viwango bora na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi..CCM ikitumian “future faking”kucontrol Watanzania,Mtanzania anayeweza kutambua hawezi kuwa controlled au kuwa influenced,wamekuwa na miaka 60 ya kufanya mabadiliko Kama hawa kufanya kamwe hawawezi kufanya.Mwanasiasa akicheza “victim card”iwe ni ya Dini,Jinsia au hata Kabila,Wananchi wenye ufahamu wa hizi mbinu hawawezi kuwa controlled…Huyo
THE BIG SHOW humjui.
Yupo hivyo kila awamu ya uraisi.
Akiwa raisi mkristo atamshambulia na kulalamika waislam wanaonewa. Kuna mfumo kristo.
Akiwa muislam atamtetea hata kwa makosa yake yaliyo wazi kabisa.
Huyo hana akili huru wala mbinu zozote za kisaikolojia na mambo sofitcated kama ulivyo yaelezea hapo juu.
Wala hatumwi na kiongozi wa chama au serikali na hayupo kwenye system.
Huyo ni ustadh ndizi mfukoni na baraghashia tu.
Magufuli alipoanza kunyanyasa wenzake wa ccm na wapinzani, hao jamaa kina Mzee Mwanakijiji walichekelea. Leo hawa wa awamu ya 6 wanacheza script ya Magufuli ya kuwanyanyasa wenzao wa ccm na upinzani wanakasirika.No ni Mabeyo. Yule jamaa basi tu.
Absolutely true.Chanzo cha huu ujinga ni ujuaji wa Magufuli.
Ni wanafiki sana HawaMagufuli alipoanza kunyanyasa wenzake wa ccm na wapinzani. Hao jamaa kina Mwanakijiji walichekelea. Leo hawa wa awamu ya 6 wanacheza script ya Magufuli ya kuwanyanyasa wenzao wa ccm na upinzani wakasirika
Hivi wewe ni mwarabu au una asili ya kiaarabu?CCM MILELE AMINA
Wapinzani wenyewe uko Chadema
Kwasasa Chama kimeshikwa na
Mwenyekiti na Makamu wake
Ni mtu na Shemeji yake
Heche kapata nguvu wapi ya kufukuza wanachama wenzie kumbe ndio ivyo
DADA yupo kwa Mwenyekiti
wake🤠🤠
Safari bado ndefu sana❗️ tutafika lkn
Kwasasa mbele mwanga
hakuna giza totolo!!
Siku Dada akiachwa
Je muunganiko huu wa Tundu Lissu na Heche utaendelea
kama sasa🫎✍️
EN hakuwa strategic, hilo ndiyo kosa lake kubwa. Kukulia ndani ya TISS/UVCCM kulimpofua akaamini kuwa ana loyalists wengi ndani ya system wa kuweza kukabiliana timu Samia/Kikwete.Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais. Ameweza kupitia sehemu mbalimbali lakini naweza kusema kuwa hakuwa mwanasiasa mwenye mikakaiti mizuri. Alikuwa anafanya maamuzi ambayo kama kuna watu walikuwa wanamuunga mkono basi alikuwa amepigwa upofu (blind sided) wa kutokujua nani anamtakia mema.
Nakumbuka sakata la Lowassa, lakini kabla ya hapo mambo ya kina SAS enzi zile. Alipotangazwa kuwa Makamu wa Rais sikuwahi kudhania alikuwa ana potential ya nyadhifa kubwa hiyo. EN alikuwa ni zao la CCM; aliipenda sana CCM na bila CCM asingekuwa hapo alipo. Inawezekana hili ndiyo kosa lake kubwa ambalo anaenda kulilipia. Inawezekana zile ziara zake za karibuni kwa viongozi mbalimbali wa tofauti zilikuwa ni kuomba wampe nafasi ya kuzungumza SSH. Njia ya mawasiliano ilikatwa na walipoenda kufungua bwawa la umeme mpasuko huo ulikuwa wazi. Alipewa nafasi ya kuimba pambio la sifa hakuimba. Kamba alijitundika mwenyewe.
Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.
Naamini kama nilivyodokeza juzi usalama wa Nchimbi ni kuwa aamue kweli kujitoa ufahamau. Utetezi wake ni Utanganyika wake. Kwamba kilichomgonganisha na Samia ni suala la yeye kutaka kutetea Tanganyika. Lakini siamini kama ataachwa afike huko; tusije kushangaa lile dudu la "Shinikizo la Damu" likagonga. Lakini endapo EN atafikishwa mahakamani kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29. Wote waliowasiliana na kumtia moyo Nchimbi wataingizwa kwenye "njama" na tusije kushanga baadhi ya watu wanaachishwa kazi (mabadiliko mbalimbali hadi jeshini".
Hapa ndipo tulipofika. Hapana; hapa ndipo tulipofikishwa.
Tukitaka tulisaidie taifa na kuwapa msaada mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Watu wa hovyo ni wengi nchi hii Ndio maana mnaona kuumiza wenzenu ndio furaha yenu hilo ni suala lamuda tu..wewe tukikuuliza kosa la Nchimbi ni lipi??? utatujibu?? maana kila kitu mnakimbiza kwamba ni udini!!! hata wakoloni walikua wabaya ila sasa tuko na watu wabaya sana na sijui kama mnafahamu kwamba kila kitu kina mwisho wake....Mwisho ukifika hata mngeambiwa nini hamtakubali na hamtasikiliza isipokua ndio uhalisia....
Makamu wa Rais mstaafu anashitakiwa ?Akiondolewa hadhi ya ubalozi anashtakiwa kama Dr Slaa
Hilo nalo linawezekana, mnafikiri wamegombana kumbe ni wa wahadaaJichooooo laaa mbaaaliii saaanaa....isije kuwa michezo aende CDM kuimarisha upunzani fake wapate pesa na kutambuliwa kuwa kuna democracy???...1995 ya LYAYONGA....
Hawezi kwenda CDM.Jichooooo laaa mbaaaliii saaanaa....isije kuwa michezo aende CDM kuimarisha upunzani fake wapate pesa na kutambuliwa kuwa kuna democracy???...1995 ya LYAYONGA....
Hata Paul Mtakatifu aliwahi kuwa Saul.Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais. Ameweza kupitia sehemu mbalimbali lakini naweza kusema kuwa hakuwa mwanasiasa mwenye mikakaiti mizuri. Alikuwa anafanya maamuzi ambayo kama kuna watu walikuwa wanamuunga mkono basi alikuwa amepigwa upofu (blind sided) wa kutokujua nani anamtakia mema.
Nakumbuka sakata la Lowassa, lakini kabla ya hapo mambo ya kina SAS enzi zile. Alipotangazwa kuwa Makamu wa Rais sikuwahi kudhania alikuwa ana potential ya nyadhifa kubwa hiyo. EN alikuwa ni zao la CCM; aliipenda sana CCM na bila CCM asingekuwa hapo alipo. Inawezekana hili ndiyo kosa lake kubwa ambalo anaenda kulilipia. Inawezekana zile ziara zake za karibuni kwa viongozi mbalimbali wa tofauti zilikuwa ni kuomba wampe nafasi ya kuzungumza SSH. Njia ya mawasiliano ilikatwa na walipoenda kufungua bwawa la umeme mpasuko huo ulikuwa wazi. Alipewa nafasi ya kuimba pambio la sifa hakuimba. Kamba alijitundika mwenyewe.
Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.
Naamini kama nilivyodokeza juzi usalama wa Nchimbi ni kuwa aamue kweli kujitoa ufahamau. Utetezi wake ni Utanganyika wake. Kwamba kilichomgonganisha na Samia ni suala la yeye kutaka kutetea Tanganyika. Lakini siamini kama ataachwa afike huko; tusije kushangaa lile dudu la "Shinikizo la Damu" likagonga. Lakini endapo EN atafikishwa mahakamani kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29. Wote waliowasiliana na kumtia moyo Nchimbi wataingizwa kwenye "njama" na tusije kushanga baadhi ya watu wanaachishwa kazi (mabadiliko mbalimbali hadi jeshini".
Hapa ndipo tulipofika. Hapana; hapa ndipo tulipofikishwa.
Tukitaka tulisaidie taifa na kuwapa msaada mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.
Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Wakubwa zake ni raia wa Tanzania.Nchimbi ana historia ya jeuri kwa wakubwa zake. Ana misimamo ya kijinga. Anavuna alichopanda.
CCM hawahitaji uwe na kosa lolote ili wakufikishe mahakama zao.Nchimbi atafikishwa mahakamani kwa kosa gani?
Na matokeo zaidi ni kwamba uamuzi wake wa kuwaua watanzania wasiokuwa na hatia umemsababishia njaa binafsi na kuliweka taifa kwenye ugumu wa maisha baada ya kunyimwa misaada na wazungu...hakuna mapinduzi yoyote yaliyopangwa Oct 29.
..Mama ni mzembe na hana confidence.
..alikuwa na mapesa kibao ya kampeni kuanzia walizojipatia kupitia kashfa ya uagizaji wa sukari, na BILLION 200 alizochangiwa na mafisadi.
..sasa pamoja na mapesa yote hayo, kwa sababu hana confidence, akalazimisha Polisi, na Usalama, wamsaidie kushinda uchaguzi. Matokeo yake ndio ghasia na mauaji ya OCT 29.