KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 2,456
- 3,274
Acha uongo ndugu, Magufuli alikuwa hapendi mambo ya hovyo sio kunyanyasa mfano kukemea ufisadi wa wa ccm wenzake ulikuwa ukifanywa kwenye chama hayo ni manyanyaso, hivi utafananisha kipindi cha Magufuli na kipindi hichi kweliMagufuli alipoanza kunyanyasa wenzake wa ccm na wapinzani, hao jamaa kina Mwanakijiji walichekelea. Leo hawa wa awamu ya 6 wanacheza script ya Magufuli ya kuwanyanyasa wenzao wa ccm na upinzani wakasirika
myonge mnyongeni haki yake mpeni pamoja na yote Magufuli hakuwa Malaika ila kwa muda mfupi alifanya kazi kubwa sana kwa kuanzisha miradi mikubwa