Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

Pesa kibao ndio kinahusianaje na waliopanga Mapinduzi?

Confidence ipi? Awaachie mumtoe kipumbavu au?

Mafala kweli hao jamaa

So wao walitaka waachwe waichome nchi hii kwa kigezo cha kuikataa CCM??

Na sisi wengine ambao hatuna mpango na siasa maisha yetu tukayafanyie wapi??

Wajaribu tena waone kenge hao
 
Samia ni mzigo. Anatuharibia Tanganyika yetu.

Muda wa intervention umefika sasa.

Mlio karibu naye hebu fanyeni mambo.

Mnamkumbuka Indira Gandhi? 😉

Yaani tupo milioni 60+ halafu tunakubali kupelekeshwa na Samia?

Kaua maelfu ya Watanganyika na nyie mliopo huko mnamwangalia tu?

Shameful.
Samia ni kama rimoti tu. Kuna wanunua rimoti na washika rimoti. Hao ndo wasakwe na washughulikiwe!
 
Parokia Imekukosea nini we jamaa? Why are you too much preoccupied by parish? Emma should be judged individually, there are so many parish members supporting your chairwoman samia from Zanzibar(self centered people)

Parokia iko nyuma ya huyo boya wenu Macho Man
 
kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29. Wote waliowasiliana na kumtia moyo Nchimbi wataingizwa kwenye "njama" na tusije kushanga baadhi ya watu wanaachishwa kazi (mabadiliko mbalimbali hadi jeshini".

Hapa ndipo tulipofika. Hapana; hapa ndipo tulipofikishwa.
 
Hana fadhila yule mbwa, Kikwete alikosea sana kulea joka. Ana arrogance, hajifunzi kwa kuwa ana uwezo mdogo. Rais Samia alimrudisha nchini na kumpatia ukatibu mkuu wa CCM, ile nafasi ni kubwa kuliko waziri mkuu nchi hii, bado akapewa umakamu wa Rais, hivi alitaka roho ya Samia? Angempatia nini zaidi?
Akafie mbali huko, ni mpumbavu!
Emanuek Nchimbi aajiriwe Kanisa Katoliki, Maaskofu ndiyo walikuwa nyuma yake
 
Mbona unaongelea ukiwa mbali wewe mbeba box??

Mlidhani kwa kuleta zile vurugu basi mtaifanya serikali itishike??

Hii ni dola tambueni,tokea lini dola ikatishwa na nguchiro kama wewe eti kwa mabandiko yako hapa JF.?
Tatizo tunashindwa tofautisha matendo ya dola na matendo ya SSH
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais. Ameweza kupitia sehemu mbalimbali lakini naweza kusema kuwa hakuwa mwanasiasa mwenye mikakaiti mizuri. Alikuwa anafanya maamuzi ambayo kama kuna watu walikuwa wanamuunga mkono basi alikuwa amepigwa upofu (blind sided) wa kutokujua nani anamtakia mema.

Nakumbuka sakata la Lowassa, lakini kabla ya hapo mambo ya kina SAS enzi zile. Alipotangazwa kuwa Makamu wa Rais sikuwahi kudhania alikuwa ana potential ya nyadhifa kubwa hiyo. EN alikuwa ni zao la CCM; aliipenda sana CCM na bila CCM asingekuwa hapo alipo. Inawezekana hili ndiyo kosa lake kubwa ambalo anaenda kulilipia. Inawezekana zile ziara zake za karibuni kwa viongozi mbalimbali wa tofauti zilikuwa ni kuomba wampe nafasi ya kuzungumza SSH. Njia ya mawasiliano ilikatwa na walipoenda kufungua bwawa la umeme mpasuko huo ulikuwa wazi. Alipewa nafasi ya kuimba pambio la sifa hakuimba. Kamba alijitundika mwenyewe.

Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.

Naamini kama nilivyodokeza juzi usalama wa Nchimbi ni kuwa aamue kweli kujitoa ufahamau. Utetezi wake ni Utanganyika wake. Kwamba kilichomgonganisha na Samia ni suala la yeye kutaka kutetea Tanganyika. Lakini siamini kama ataachwa afike huko; tusije kushangaa lile dudu la "Shinikizo la Damu" likagonga. Lakini endapo EN atafikishwa mahakamani kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29. Wote waliowasiliana na kumtia moyo Nchimbi wataingizwa kwenye "njama" na tusije kushanga baadhi ya watu wanaachishwa kazi (mabadiliko mbalimbali hadi jeshini".

Hapa ndipo tulipofika. Hapana; hapa ndipo tulipofikishwa.

Tukitaka tulisaidie taifa na kuwapa msaada mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.

Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.

Ndugu Mzee Mwanakijiji,

Uchambuzi wako unaibua masuala mazito, lakini nikitazama kwa jicho la kiuhalisia wa jinsi utawala wa sasa unavyofanya kazi, naona kuna maeneo unampa Emanuel Nchimbi (EN) nafasi au nguvu ambayo kiuhalisia hana tena. Unapendekeza kuwa anaweza kutumia hoja ya "Utanganyika" kama ngao au silaha yake ya mwisho ili kujinasuru. Hata hivyo, katika mazingira ya sasa ya Tanzania—ambapo misingi ya kidemokrasia imemomonyoka kwa kiasi kikubwa na mifumo ya ukandamizaji iko wazi—mbinu hiyo ni sawa na kupigia mbuzi gitaa.

Kwanza kabisa, nakubaliana nawe katika kumtathmini EN, kwani kibinafsi sijawahi kuwa na imani naye hata siku moja. Anguko lake la sasa linapaswa kuwa fundisho kubwa na la kudumu kwa wanufaika wote wa mifumo ya kikandamizaji: mfumo wa kiimla hauna urafiki wa kudumu, unakutumia kama chombo tu na ukimaliza kukutumia unakutupa na kukuponda. EN alikubali kuwa sehemu ya usaliti huu dhidi ya matakwa ya wananchi pindi tu aliporidhia kuwa mgombea mwenza. Alikuwa na nafasi kubwa sana ya kufanya toba ya kisiasa (mea culpa) mbele ya umma mara baada ya maafa makubwa ya Oktoba 29, lakini akachagua kubaki kwenye utawala uliomweka madarakani kama Makamu wa Rais kwa kura za kubumba. Pamoja na kwamba sipendi kuona mwanadamu yeyote akipata matatizo, kiuhalisia ni vigumu kumuonea huruma mtu aliyejitakia matatizo kwa kukumbatia mfumo wa damu na dhuluma. Ukishapoteza uaminifu (loyalty) wa Ikulu uliyoiingia kwa njia haramu, unakuwa huna thamani tena kisiasa (politically irrelevant).

Pili, hofu yako juu ya "dudu la shinikizo la damu" au "kamata-kamata" inayoweza kutikisa hadi jeshi inaonyesha jinsi ulivyo na picha ya dhoruba kubwa ya kisiasa. Lakini kiuhalisia, udikteta wa kisasa hauhitaji mapinduzi ya kijeshi au kusafisha vikosi vizito ili kumdhibiti mtu mmoja aliyepoteza nguvu na uhalali mbele ya umma. Mabadiliko yoyote jeshini au serikalini yanayoweza kutokea sasa si kwa sababu ya hofu ya ushawishi wa Nchimbi, bali ni mbinu ya kawaida ya utawala kuweka watu watiifu kwa 100% (absolute loyalists) ili kulinda hatamu zao za madaraka. Mfumo hautikisiki kwa kuanguka kwa EN; badala yake, unajilinda wenyewe kwa kutumia uoga na mabavu, kama tulivyoshuhudia kwenye ukandamizaji mkubwa wa kijeshi na ukamataji holela ulioripotiwa wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliopita wa Oktoba 2025, ambapo hata ripoti ya Tume ya Chande Othman ilikiri kuwepo kwa mamia ya vifo na watu kupotea.

Mwisho kabisa, wito wako wa kutaka CCM iondolewe madarakani ni sahihi, lakini njia unayopendekeza ina walakini. Unasema "CCM wapambane na mambo yao" huku ukidai Tundu Lissu aachiliwe mara moja. Huwezi kutenganisha migogoro ya ndani ya chama tawala na ukandamizaji wa wapinzani nje ya chama. Tundu Lissu kuendelea kusota mahakamani akikabiliwa na kesi ya uhaini tanzu akamatwe Aprili 2025, na huku EN akishambuliwa ndani, ni pande mbili za sarafu moja ya utawala unaotumia vyombo vya dola (state machinery) kudhibiti kila sauti inayotishia mamlaka. Huwezi kuwaambia wananchi wasubiri CCM imalizane yenyewe; udikteta hauondoki kwa migogoro ya ndani ya chama tawala, unaondoka pale nguvu ya umma inapokataa mifumo yote miwili—wa ndani ya chama na ule wa ukandamizaji wa nje.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais. Ameweza kupitia sehemu mbalimbali lakini naweza kusema kuwa hakuwa mwanasiasa mwenye mikakaiti mizuri. Alikuwa anafanya maamuzi ambayo kama kuna watu walikuwa wanamuunga mkono basi alikuwa amepigwa upofu (blind sided) wa kutokujua nani anamtakia mema.

Nakumbuka sakata la Lowassa, lakini kabla ya hapo mambo ya kina SAS enzi zile. Alipotangazwa kuwa Makamu wa Rais sikuwahi kudhania alikuwa ana potential ya nyadhifa kubwa hiyo. EN alikuwa ni zao la CCM; aliipenda sana CCM na bila CCM asingekuwa hapo alipo. Inawezekana hili ndiyo kosa lake kubwa ambalo anaenda kulilipia. Inawezekana zile ziara zake za karibuni kwa viongozi mbalimbali wa tofauti zilikuwa ni kuomba wampe nafasi ya kuzungumza SSH. Njia ya mawasiliano ilikatwa na walipoenda kufungua bwawa la umeme mpasuko huo ulikuwa wazi. Alipewa nafasi ya kuimba pambio la sifa hakuimba. Kamba alijitundika mwenyewe.

Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.

Naamini kama nilivyodokeza juzi usalama wa Nchimbi ni kuwa aamue kweli kujitoa ufahamau. Utetezi wake ni Utanganyika wake. Kwamba kilichomgonganisha na Samia ni suala la yeye kutaka kutetea Tanganyika. Lakini siamini kama ataachwa afike huko; tusije kushangaa lile dudu la "Shinikizo la Damu" likagonga. Lakini endapo EN atafikishwa mahakamani kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29. Wote waliowasiliana na kumtia moyo Nchimbi wataingizwa kwenye "njama" na tusije kushanga baadhi ya watu wanaachishwa kazi (mabadiliko mbalimbali hadi jeshini".

Hapa ndipo tulipofika. Hapana; hapa ndipo tulipofikishwa.

Tukitaka tulisaidie taifa na kuwapa msaada mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.

Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.

Kwani wakati ule wanagombea UVCCM, nini kilimpata Ipyana Malecela? Was it natural? Mtandao na wana mtandao ipo siku wote watawajibika.

Ngoja waendelee hivi hivi tuone watafika mpaka wapi.
 
Hilo ndiyo tatizo kuubwa hasa linaloisibu Taasisi ya TEC vile vile

Kivipi? EN ni muumini mkatoliki. Lakini hakutumwa na wakatoliki. Yeye alikuwa wana mtandao kindakindaki. Kuna kitu kimeisumbua Tanzania kama wana mtandao?

Haya yanayoendelea ni mazao ya tamaa zao za mali na madaraka kwa gharama yoyote. Na kusema kweli kila mtu anataka mtu wake awe na nafasi kubwa. Wameanza kupigana ngwala hadharani.

Mwisho wake hii Tanzania itaanza upya na kuwa salama. Ila msiisingizie TEC sababu Nchimbi, strategically aliamua kuwa karibu nao wakati amehisi madaraka yanaanza kumkimbia
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali kuwa anaweza kuwa Makamu wa Rais. Ameweza kupitia sehemu mbalimbali lakini naweza kusema kuwa hakuwa mwanasiasa mwenye mikakaiti mizuri. Alikuwa anafanya maamuzi ambayo kama kuna watu walikuwa wanamuunga mkono basi alikuwa amepigwa upofu (blind sided) wa kutokujua nani anamtakia mema.

Nakumbuka sakata la Lowassa, lakini kabla ya hapo mambo ya kina SAS enzi zile. Alipotangazwa kuwa Makamu wa Rais sikuwahi kudhania alikuwa ana potential ya nyadhifa kubwa hiyo. EN alikuwa ni zao la CCM; aliipenda sana CCM na bila CCM asingekuwa hapo alipo. Inawezekana hili ndiyo kosa lake kubwa ambalo anaenda kulilipia. Inawezekana zile ziara zake za karibuni kwa viongozi mbalimbali wa tofauti zilikuwa ni kuomba wampe nafasi ya kuzungumza SSH. Njia ya mawasiliano ilikatwa na walipoenda kufungua bwawa la umeme mpasuko huo ulikuwa wazi. Alipewa nafasi ya kuimba pambio la sifa hakuimba. Kamba alijitundika mwenyewe.

Nimedokeza kwenye mada nyingine kuwa licha ya kuvuliwa uanachama wanaenda kumshitaki mahakamani; hawataacha astaafu aendelee "kula mema ya nchi'. Kama alidhani ana marafiki hao marafiki hawapo na hakuna mtu yeyote atakayejitokeza kumtetea.

Naamini kama nilivyodokeza juzi usalama wa Nchimbi ni kuwa aamue kweli kujitoa ufahamau. Utetezi wake ni Utanganyika wake. Kwamba kilichomgonganisha na Samia ni suala la yeye kutaka kutetea Tanganyika. Lakini siamini kama ataachwa afike huko; tusije kushangaa lile dudu la "Shinikizo la Damu" likagonga. Lakini endapo EN atafikishwa mahakamani kuna kamata kamata inayokuja kushinda ile ya Oktoba 29. Wote waliowasiliana na kumtia moyo Nchimbi wataingizwa kwenye "njama" na tusije kushanga baadhi ya watu wanaachishwa kazi (mabadiliko mbalimbali hadi jeshini".

Hapa ndipo tulipofika. Hapana; hapa ndipo tulipofikishwa.

Tukitaka tulisaidie taifa na kuwapa msaada mkubwa CCM ni kuwaondoa madarakani. Wataendelea kutusumbua hadi vitukuu vyetu.

Tundu Lissu Aachiliwe Mara Moja bila ya masharti... CCM wapambane na mambo yao.
Roho mtakatifu.

Anajigamba kuongozwa na dini ,Kumbuka kila hotuba yake alirejea mafunzo aliypata Seminary huko Moshi na kumpenda Mungu, ana hofu ya Mungu na anaongozwa na Roho mtakatifu.

Sijui kama in kweli au la , ila yanasemwa.
 
Ndugu Jaji Mfawidhi,
Kama kweli mtu huyo angekuwa anaongozwa na Roho Mtakatifu na kuwa na hofu ya Mungu kama unavyodai kuwa anajigamba kwenye hotuba zake kwa kurejea mafunzo ya Seminari ya Moshi, basi tusingekuwa hapa tulipo leo.
Mtu mwenye hofu ya dhati ya Mungu na anayeongozwa na Roho Mtakatifu asingethubutu hata kusimama na kukubali kuapishwa siku ile pale jeshini kuwa Makamu wa Rais. Alijua fika, bila mashaka yoyote, kwamba mchakato mzima ule ulikuwa ni wizi wa mchana kweupe na dhuluma dhidi ya matakwa ya wananchi.
Roho Mtakatifu hawezi kuwa mshirika wa kura za kubumba, uporaji wa haki, na ukandamizaji wa umma. Kuendelea kutumia kivuli cha dini na seminari ni mbinu ya kujitakasa kisiasa iliyofilisika. Umeandika pumba za karne ambazo hazina uhusiano wowote na ukweli wa kiimani wala wa kiutawala.
 
Logik, sasa sijui itakuwaje , yani hebu tuendelee na maombi.
 
Magufuli alipoanza kunyanyasa wenzake wa ccm na wapinzani, hao jamaa kina Mwanakijiji walichekelea. Leo hawa wa awamu ya 6 wanacheza script ya Magufuli ya kuwanyanyasa wenzao wa ccm na upinzani wakasirika
JIWE anapendwa kama Yesu, usimseme vibaya kama unataka amanani na wasukuma .
 
Back
Top Bottom