Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

Very true...yaani hawataki kuwajibika kwa mambo yao wanataka kuwabebesha lawama wengine.

..kwa maoni yangu uwezo wa kushinda bila kumwaga damu walikuwa nao.

..tatizo ni mazoea mabaya ya kutumia vyombo vya dola hata mahali ambapo havistahili.

..Mama alianza kampeni tangu alipoingia madarakani, wakati vyama shindani bado vinajitafuta.

..Mama aligawa baiskeli na mapikipiki kila mahali kama njia ya kuwalainisha wapiga kura.

..wakaja na kashfa ya vibali vya kuagiza sukari lengo likiwa kupata fedha kwa ajili ya uchaguzi.

..halafu wakamaliza na kuchangisha billioni 200 toka kwa wafanyabiashara.

..ukichanganya advantage zote alizokuwa nazo kama mgombea unaona kabisa hakukuwa na haja ya kutumia mabavu.

..hakukuwa na ulazima wowote ule wa kuumiza, na kuuwa watu kwasababu ya uchaguzi.
 
Unajua yote hii ilikuwa ni kukwepa ushindi wa 52%. Ilikuwa ni muhimu sana kwao kushinda kwa zaidi ya asilimia 90.
 
Samia ni mzigo. Anatuharibia Tanganyika yetu.

Muda wa intervention umefika sasa.

Mlio karibu naye hebu fanyeni mambo.

Mnamkumbuka Indira Gandhi? 😉

Yaani tupo milioni 60+ halafu tunakubali kupelekeshwa na Samia?

Kaua maelfu ya Watanganyika na nyie mliopo huko mnamwangalia tu?

Shameful.
Tangayika inauliwa na Watanganyika kwa sababu ya tamaa na unafiki....yaani majitu yapo tu kule juu hayaoni uchungu
 
..kwa maoni yangu uwezo wa kushinda bila kumwaga damu walikuwa nao.

..tatizo ni mazoea mabaya ya kutumia vyombo vya dola hata mahali ambapo havistahili.

..Mama alianza kampeni tangu alipoingia madarakani, wakati vyama shindani bado vinajitafuta.

..Mama aligawa baiskeli na mapikipiki kila mahali kama njia ya kuwalainisha wapiga kura.

..wakaja na kashfa ya vibali vya kuagiza sukari lengo likiwa kupata fedha kwa ajili ya uchaguzi.

..halafu wakamaliza na kuchangisha billioni 200 toka kwa wafanyabiashara.

..ukichanganya advantage zote alizokuwa nazo kama mgombea unaona kabisa hakukuwa na haja ya kutumia mabavu.

..hakukuwa na ulazima wowote ule wa kuumiza, na kuuwa watu kwasababu ya uchaguzi.
Mkuu kutokana na yale ya ''Dodoma'' ya watu kujiteua tayari kulikuwa na wasi wasi wa mambo mawili
1. Kupoteza Urais kwasababu ya 'internal strife ndani ya CCM''
2. Kupoteza Bunge au 2/3 majority
 
Methali 28:1 ...
 
Uelewa binafsi kabisa !uelewa binafsi kabisa!!

Deep state so called the state wakiw na wazee wastaafu kama kina warioba wenye misimamo isiyo yumba pamoja na TEC walikua nyuma ya nchimbi ukijumlisha na taasisi za kimataifa za kijasusi za america,israel,uengereza n.k namaanisha CIA,mossad, M16 na washirika wao kutokana na maslahi yao ndani ya Tanzania walikua nyuma ya nchimbi!!

Lakini wapinzani wao ccm mtandao walicheza karata zao vizuri coz kila move walioifanya majamaa wali counter attack kijanja!!

Mfano:-

1.Walipotaka kumuondoa mama asiwe Rais wa muda mrefu yaani wakitaja kumchomekea nchimbi awe makam wake kipindi cha msiba ule;-
Decisive counter:-

Wakamuweka mtu asie na ushawishi mrundi kiasili Hana mizizi ndani ya chama Philip isdory Mpango.

2.Walipotaka kumzuia mama asigombee kupitia gazeti la uhuru kwa kichwa cha habari ,Samiah;-sitogombea urais 2025,na figisu kibao;

Decisive counter;-

Mama alianza kampeni mapema plus baiskeli,piki piki na akaagiza mchakato wa uteuzi mapema pale Dodoma January mwaka 2025 ndani ya chama!wakashindwa!

3.Wakamtumia Humphrey pole pole plus disert mission iliyoratibiwa na TEC kanisani kwa mgongo wa chadema wakaipa jina no reform no election na kweli ikabamba sana kitaa.
Decisive counter;-

Wakamteka pole pole hatujui alipo Hadi Leo,Lisu kama top leader wa no reform no election kawekwa lupango Hadi Leo,siku ya uchaguzi wakaja na surprise ever ile thabit kombo ile kauli "shoot to kill" na kweli maandamano yakayeyuka na njugu wakachezea waliochezea!!

4.Wakamuingiza nchimbi kama plan B kama plan A ya uchaguzi ilishindwa basi huyu atumike kuleta vugu vugu la katiba na mabadiliko ndani ya chamanna serikali pia wakatumia ushahidi wa picha wa matukio ya October 29 ili kumtia mama hatiani!!yaani operation PJLK eti taarifa zinatoka juu kurudi chini.

Counter
Wakaja na "operation yuda" na kumtoa nchimbi kama plan B Yao,wakatembeza mkwanja huko majuu kisafisha nchi dhidi ya Damu iliyomwagika Bado haijafanikiwa sana hii lakini nadhani watapambana!!

Kifupi Hadi sasa team mtandao wameshinda dhidi ya Deep state:-

Angalizo kuu;-

Kama deep state ikitumia mabaka mabaka ku destabilize regime patachimbika na hiyo ndio kete pekee baada ya paln B nchimbi kushindikana!!JE team mtandao huko jeshini na brigade zote mambo yapoje!!?

Nimechoka ku type

Ngama Bado mbichi,
Nachelea

Kazi na utu,tuna songa mbele

Tujitahidi tuwe na utu!

Mawazo binafsi haya!!Wala sio mjuzi wa kimedani WA mambo haya!

Kuna Uzi niliwahi kuandika

"Uchaguzi wa Tanzania 2025 October ni vita vya kijasusi mashirika ya kimataifa ya america, Europe,israel vs Russia,china,Arabs united" kapitie ule uzi Kwa kina !!
Chura Kiziwi hajawahi kuwa na akili hizo! Otherwise tusingekuja kuambiwa habari za watu kutoka nje! By the way hao unaowataja wakitaka lao hawashindwi! Punguza ujuaji na ujinga.
 
Mkuu kutokana na yale ya ''Dodoma'' ya watu kujiteua tayari kulikuwa na wasi wasi wa mambo mawili
1. Kupoteza Urais kwasababu ya 'internal strife ndani ya CCM''
2. Kupoteza Bunge au 2/3 majority

..hoja yangu ni kwamba angetembeza MANOTI badala ya RISASI.

..billioni 200 alizochangiwa usiku mmoja zinatosha kujenga daraja la tanzanite.

..sasa yeye alikuwa na zaidi ya hizo.

..uchaguzi ulikuwa mrahisi sana ukizingatia kiwango cha fedha za kampeni alizokuwa nazo.
 
Mnarudi na upuuzi uleule
Ilikuwa polepole na ana kambi nzima ya jeshi nyuma yake, na akaliwa kichwa
Sasa mnataka kujiaminisha na huyu ndumbwi na mimacho yake na yeye mlikuwa mnasema ni usalama na ameshikilia kitengo chote, haya Kiko wapi ?
 
..Katiba yetu ni mbovu.

..kumtoa Makamu wa Raisi hakupaswi kufanyika kimasihara kama ilivyotokea kwa John Nchimbi.
 
Mbona unaongelea ukiwa mbali wewe mbeba box??

Mlidhani kwa kuleta zile vurugu basi mtaifanya serikali itishike??

Hii ni dola tambueni,tokea lini dola ikatishwa na nguchiro kama wewe eti kwa mabandiko yako hapa JF.?
Samia ni mzigo. Anatuharibia Tanganyika yetu.

Muda wa intervention umefika sasa.

Mlio karibu naye hebu fanyeni mambo.

Mnamkumbuka Indira Gandhi? 😉

Yaani tupo milioni 60+ halafu tunakubali kupelekeshwa na Samia?

Kaua maelfu ya Watanganyika na nyie mliopo huko mnamwangalia tu?

Shameful.
Nyani haoni kundule .. najua kundu lishaaza kuwasha , lete tulibutue japo halina marinda tutapiga hivo hivo kibishi. ***** mzee
 
Katiba inaweza kuwa nzuri na bora lakini Kama Rais ataichukulia katiba kama kakijitabu tu mtamfanya nini?.

..Katiba nzuri na bora inakuwa na makatazo dhidi wanaotaka kuikiuka.

..Katiba nzuri na bora inakuwa na kinga na ni wezeshe kwa raia wema na wazalendo wanaoitetea.

..Katiba bora inaweka mipaka ya nini Rais anaweza kufanya kikatiba na kisheria, na nini hawezi kufanya.

..Katiba bora inaeleza hatua ambazo wananchi, wabunge, mahakama,wanaweza kuchukua iwapo Rais atakiuka katiba.

NB:

..Katiba tuliyonayo ni mbaya mbovu kwelikweli. Kwa mfano, Rais na serikali hupeleka bajeti bungeni. Sasa bunge likiikataa bajeti Rais ana mamlaka ya kulivunja.

..Sasa katika mazingira hayo bunge linakuwaje chombo cha kuisimamia na kuiwajibisha serikali?
 
Back
Top Bottom