Swali: Mbinguni Kuna sikukuu ya Christmas 25 December?

Sasa AGANO Hilo ni ujio wa Roho mtakatifu ndani ya MIOYO ya waamini!

Lina mahusiano yapo na tarehe 25 December?
Nilikuwa namjibu aliyesema Yeremia Hana Uhusiano na Agano jipya na wala haitambui..
Nikaweka ili kumjibu kuwa hata utambuzi wa Unabii wa agano jipya unapatikana kwake
 
Nilikuwa namjibu aliyesema Yeremia Hana Uhusiano na Agano jipya na wala haitambui..
Nikaweka ili kumjibu kuwa hata utambuzi wa Unabii wa agano jipya unapatikana kwake
Warumi na Babeli wote walikuwa waabudu miungu na sanamu kabla ya Kristo YESHUA HAMASHIACH kuja duniani,

Sasa waliposhindwa kufuta wafuasi wa KRISTO duniani, wakaamua kuanzisha dini Yao ya mchongo na kuingiza Ibada za sanamu na Ibada za miungu Yao inayosherehekewa 25 December Ili wakristo wawe aabudu miungu indirect.

Mimi nlistuka mapema, sisherehekei Kwa namna hiyo siku na mwezi huo.
 
Dini Ile kubwa imeingiza mambo ya kipagani Kanisani.

Tujitenge nayo.
 
Msingi wa swali lako ni kukosoa tarehe ya Christmas 25 dec hakuna jingine.
Kwànza huko mbinguni aliyekwambia wataenda wanaosherehekea Christmas peke yao nani hadi washerehekee hiyo siku nani?
Jaribu kuelewa msingi wa mada.
 
Kila Ijumaa ni Eid mapilau yanapikwa na waislam wanakula mpaka wanajaza vyoo ndivyo kuruan isemavyo halafu shetani anakuja kunyonya vyoo anaenda kumwanga kwenye moto wa wenye dhambi
 
Kila Ijumaa ni Eid mapilau yanapikwa na waislam wanakula mpaka wanajaza vyoo ndivyo kuruan isemavyo halafu shetani anakuja kunyonya vyoo anaenda kumwanga kwenye moto wa wenye dhambi
Jikite kwenye mada 🙏

Rabbon Si Islam Wala Adventist, ni Mwenzio katika Imani ya KRISTO Yesu ikiwa u mwamini.
 
Mimi Si msabato,

Ila Nenda hapo Israel Kwa Wayahudi wapo Hadi Leo uone ikiwa sabato Yao ni tofauti na Jumamosi.
 
Kuhusu Kuzaliwa Kwa Yesu Iko wazi,

Ni mwezi wa SITA Maria alikwenda kumtembelea Elisabeth mama aliyemzaa Yohana mbatizaji.

Sasa ikiwa Mariam akiwa na mimba ya mwezi mmoja Mwezi wa SITA, sasa hesabu miezi Tisa itatimia mwezi upi!!

Siku ya kuzaliwa na kufufuka Kwa Yesu inakuwa pamoja,

Hilo ni fumbo kuu,

Karibu thread itakayoongelea jambo Hilo.
 
Wakristo 3-0 wasabato


Hizi mada zenu zisgapitwa na wakati
 
Unathibitishaje ulikuwepo kabla hujazaliwa?
Kasome kitabu Cha (Yeremia 1:5)

Nalikujua kabla sijakuweka katika tumbo, na nilikuteua kuwa nabii wa mataifa asema BWANA Mungu.
 
Unamtaka wanini na humuamini?
Wapi nimesema namtaka?

Thibitisha Mungu yupo. Thibitisha mbingu ipo.

Abstract thinking. Do not personalize this with ad hominem fallacy.
 
Wakristo 3-0 wasabato


Hizi mada zenu zisgapitwa na wakati
Warumi ndio wameingiza upagani wa kusherehekea Christmas tarehe 25 December,

Rudi usome wakristo Kanisa la kwanza kama waliofanya sherehe hiyo ya kipagani tarehe 25 December,

Wasabato Hawa ni WA juzi tu, Rudi Kwa Wayahudi na ujue historia ya wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…