Umenena vyema mkuu. Ni kuwe Gate scanner kila Station full stop, ila swali ni je Station za TRC zote zina uzio?..aliyekata Tiketi ya Ruvu, akaendelea mpaka Moro, anatakiwa azuiliwe kutoka kituoni mpaka atakapolipa nauli yote.
..Kwa maana nyingine, tiketi ya Ruvu ukiitumia kutoka Moro inatakiwa igome kusomeka. Na ili isomeke inabidi ukailipie nauli kamili.
..TRC wanatakiwa wabunge mifumo sahihi ya kuingia na kutoka ktk stesheni za Sgr.
..Wadanganyifu wanatakiwa wakamatwe wakati wanajaribu kutoka vituoni. Hakuna haja ya kuajiri wakaguzi wa tiketi wanaopata kwenye mabehewa.