Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20.
Wakati wamefika juu ya jengo hilo refu, pamoja wakakubaliana kuhesabu 1 hadi 3 na waruke. Walipofika kwenye tatu wakati wa kuhesabu, mwanamke alijirusha lakini mwanaume alibaki amesimama.
Mwanaume akiendelea kumshuhudia mwanamke wake akiporomoka kwa kasi kwenda chini, ghafla akashuhudia mwanamke yule akifungua ‘parachute’ na kutua chini salama (safe landing) kama mwanajeshi
Swali; nani alimsaliti mwenzake; mwanaume au mwanamke?

Credit: MMM