Swali: Nani alimsaliti Mwenzake; Mwanaume au mwanamke?

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666
Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20.

Wakati wamefika juu ya jengo hilo refu, pamoja wakakubaliana kuhesabu 1 hadi 3 na waruke. Walipofika kwenye tatu wakati wa kuhesabu, mwanamke alijirusha lakini mwanaume alibaki amesimama.

Mwanaume akiendelea kumshuhudia mwanamke wake akiporomoka kwa kasi kwenda chini, ghafla akashuhudia mwanamke yule akifungua ‘parachute’ na kutua chini salama (safe landing) kama mwanajeshi


Swali; nani alimsaliti mwenzake; mwanaume au mwanamke?
Credit: MMM
 
Sijasoma lakini hapo ni mwanamke tu
 
Ngoma droo
 
Mwanamke ndiomana na yeye anafuata few days to have been predicted by The Mighty Sir God
 
Mwanaume ndio msaliti,,,wao walipanga kuruka, lakini yeye hakuruka.
 

Usaliti ni kutoa Mbunye na Hogo tu, hizi nyingine ni chachqmdu, hao ni wahuni, wote wasaliti, pumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…