Sema umejua kutunyoosha na hilo jina Julius.Halafu nacheka kweli!
Kuna mtu kanijia PM anadai ananijua. Anadai kwamba eti hili ndo jina langu.
Anachoshindwa kutambua ni kwamba, vipi kama hili ni jina nililolitunga kwa matumizi ya JF?
Jina langu la ukweli nikilitaja hapa watu walio wengi waliopitia/soma UDSM lazima watamjua baba yangu ambaye alikuwa mwalimu/ profesa hapo kwa miaka zaidi ya 30!
Na alikuwa haitwi Profesa Magembe na wala hana mtoto aitwaye Julius!
Hahahaaaa akili kubwa sana hii aisee.
Sema umejua kutunyoosha na hilo jina Julius.
Sawa babe nasubiria kuona jina lako maana na mie nimeshangaa tu we kuitwa Julius [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa
Hivi, kama kweli ningekuwa naitwa Julius ningejianika hivi JF? Ningeweka rehani faragha ya familia yangu?
Halafu unajua kingine nini? Nimesoma Shaaban Robert.
Kuna Julius Magembe aliyewahi kusoma hapo? Hahahahahaaa.
Ila uzuri watu wengi niliosoma nao hawapo kabisa JF na ndo maana najidai sana. La sivyo wangekuwa washanitaja.
Ila usijali....wewe nitakuonyesha passport yangu kabisa....
Nasubiria malkia wangu wa nguvuAsante malkia wangu wa nguvu. Weekend hii mtoko pamoja
Hahahahaah naniWewe angalia uliyemwacha maana nanii simwoni hapo.
Nimetoa bonge la smile
Halafu nachekaaaa
Leo pokea busu la shavu kwa kunitaja kwa mada nzuri.. shukurani
Nakuona ulivyosmile.
Wala ata sihitaji shukrani yako.
Basi muhimu umepokea busu la shavu na utalala ukimfikiria Cocochanel..
Potezea tu ninyi vidumeAlinitukana mkuu
Ahsante sana Mumy. Nawe pia ni mmoja kati ya malikia wangu wa nguvu ndani ya jf.
Ahsante sana mdogo wangu. Nami pia nakupenda sana mdogo wangu.Emmyta my lovely sis Mimi penda wewe miaka 100
Ahsante sana Dada ake malikia wangu wa nguvu. Penda sana wewe.
Ahsante sana [emoji120] [emoji120]Emmyta
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Emmyta
Ahsante sana sana my dear rafiki.