SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

Halafu nacheka kweli!

Kuna mtu kanijia PM anadai ananijua. Anadai kwamba eti hili ndo jina langu.

Anachoshindwa kutambua ni kwamba, vipi kama hili ni jina nililolitunga kwa matumizi ya JF?

Jina langu la ukweli nikilitaja hapa watu walio wengi waliopitia/soma UDSM lazima watamjua baba yangu ambaye alikuwa mwalimu/ profesa hapo kwa miaka zaidi ya 30!

Na alikuwa haitwi Profesa Magembe na wala hana mtoto aitwaye Julius!

Hahahaaaa akili kubwa sana hii aisee.
Sema umejua kutunyoosha na hilo jina Julius.
 
Sema umejua kutunyoosha na hilo jina Julius.

Hahahaaaa

Hivi, kama kweli ningekuwa naitwa Julius ningejianika hivi JF? Ningeweka rehani faragha ya familia yangu?

Halafu unajua kingine nini? Nimesoma Shaaban Robert.

Kuna Julius Magembe aliyewahi kusoma hapo? Hahahahahaaa.

Ila uzuri watu wengi niliosoma nao hawapo kabisa JF na ndo maana najidai sana. La sivyo wangekuwa washanitaja.

Ila usijali....wewe nitakuonyesha passport yangu kabisa....
 
Sawa babe nasubiria kuona jina lako maana na mie nimeshangaa tu we kuitwa Julius [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom