Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sema umejua kutunyoosha na hilo jina Julius.Halafu nacheka kweli!
Kuna mtu kanijia PM anadai ananijua. Anadai kwamba eti hili ndo jina langu.
Anachoshindwa kutambua ni kwamba, vipi kama hili ni jina nililolitunga kwa matumizi ya JF?
Jina langu la ukweli nikilitaja hapa watu walio wengi waliopitia/soma UDSM lazima watamjua baba yangu ambaye alikuwa mwalimu/ profesa hapo kwa miaka zaidi ya 30!
Na alikuwa haitwi Profesa Magembe na wala hana mtoto aitwaye Julius!
Hahahaaaa akili kubwa sana hii aisee.