Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine
Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao mpa kiburi yeye asiombe msamaha.
Napatwa na fikra kwamba mnunuzi atakaye jitokeza huwenda akawa amepangwa na musiba mwenyewe na hivyo mali kubaki kwa musiba au kukawepo na uchezewaji wa nyaraka muhimu juu ya mali hizo au zuio la mahakama n.k
Mnakumbuka yaliyo jiri kwa 900 ITAPENDEZA?
msimamo wangu. Musiba awajibishwe kwa ujinga wake l, kiburi chake na kutaka kuona wengine si lolote ktk ardhi ya Tanzania