Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

I'm just interested on whether this exercise will, in the end, prove its rationality and sustainability. That some of our neighbours have been strategically positioning themselves to occupy (with the apparent ultimate objective of laying claim to) parts of our land in the North West has been evident for years now. Our authorities, as usual, chose to either ignore or take haphazard and half-hearted actions against increasing tensions including banditry executed with military type weapons in those areas. Stories of corruption playing a big role in aggravating the state of affairs have been frequent. I even recall the Kagera RC, Col. Massawe, in one evening news bulletin, expressing astonishment at coming across three village chairmen who were illegals from a neighbouring country living and administering those villages "peacefully". This is the contextual background that pokes holes in the sincerity of the current government's aggressive move against the "illegals" in those areas - whether the operation is based on serious administration of government responsibility on matters of immigration or just an excuse to fix a neighbourhood menace. The government's action may be welcome, but cannot be commendable coming this late and prompted by a questionable motive.
 
Moja ya ya sifa kubwa kabisa ambazo hayati Mwalimu Nyerere alikuwa nazo ni muono au kwa kiingereza "Vision".

Ndio maana hakuwafukuza watu kiholela baada ya vita ile na Nduli Idi Amin.

Ila Milton Obote alikuja kufanya makosa kwa kuwafukuza raia wa Rwanda ambao waliishi nchini Uganda tangu mwaka 1940.

Na alikuwa kila mara akisumbuliwa na kumbukumbu hii.

Sasa mheshimiwa raisi Jakaya Kikwete kwa kufuata njia hii (au ushauri) ya kuwatimua raia wanaodaiwa kuwa ni haramu (maana kuna taarifa kwamba kuna pasi za watanzania/wanyarwanda zimechanwa na maofisa wa uhamiaji mpakani Rusumo) na ambao wamekuwa wakiishi nchini mwetu mwaka miongo hadi minne.

Lakini raisi Kikwete akumbuke kwamba hata raia wa Tanzania wakikimbilia Rwanda kupitia mpakani Rusumo siku ambayo nchini mwetu hakutakalika, serikali ya Rwanda itawapokea kwa moyo mmoja kwani wao ni ndugu zetu.

Isitoshe ugomvi wa maraisi wetu hawa wawili hauwezi kusababisha ujirani, undugu, mshikamano na umoja kati ya watanzania na wanyarwanda uvunjike.

Haya ni mambo ya kuzingatia sana kabla ya kutoa maamuzi mazito na rahisi lakini yanatengeneza jamii zingine za kesho.
 
Ni kweli nchi hii ina wahamiaji wengi tatizo la wahamiaji wa kutoka Rwanda watakapokaa muda mrefu tutakuwa tunatengeneza akina Sultani Makenga wengi..maana hata wao walienda huko Congo kama wahamiaji but baada ya kukaa muda mrefu wanajifanya huko ni kwao wakati ni wahamiaji tu...JK ameliona hili wasije baadae wakalianzisha na kudai hapo kagera ni kwao kumbe tuliwakaribisha vizuri....wanajulikana tabia zao hao sio siri na kuna wachangiaji wengi humu ndo vizalia vyao basi vimejua kiswahili vinajidai "born here here" kumbe ndo huu uzawa wa wahamiaji haramu...big up JK cku 14 zinawatosha wakabanane huko huko kwao...huku nafasi zimejaa!!
 
"..In 2010, Kikwete akiwa ndiyo Raisi wetu, Tanzania iliwapa uraia wakimbizi 160,000 toka Burundi. Sasa madai kwamba Kikwete ni mkatili na dikteta yanatoka wapi" JokaKuu,mtu zote hizo zilipewa uraia,Duuh JF shule tosha
 
Last edited by a moderator:
You have said "..........wanakuwa deported back to their countries" baada ya uchunguzi na kujiridhisha kwamba hawakidhi vigezo. Swali ni Je, sisi hapa tunafanyaje? Tunawa - deport kwa utaratibu kama wanavyofanya hao U.S.A,Ufaransa na wengine Ulaya?? Mbona kama vile sisi hapa wamepewa siku tu kuondoka bila kwanza kuchunguza na kujua kila mmoja aliingiaje maana tunasikia wengine wana miaka hata zaidi 20 mpaka wameoa au kuolewa huku? Hivi inakuwaje mtu aliyeingia toka ktk taifa jingine akaishi zaidi ya miaka 20 katika nchi yenu, akaoa/olewa,akazaa na watoto bila mamlaka za nchi kujua na leo from no where anasimama mtu anasema huyu ni mhamiajai haramu??

Ikiumbukwe kuwa hakuna mtu anayekubaliana na tatizo la uhamiaji haramu popote pale duniani.Tunachosisitiza hapa ni kuwa lazima hawa watu watendewe kama watu na UTU na UBINADAMU uzingatiwe hata kama ni wahalifu kama ambavyo katiba yetu ya JMT inavyotamka!!
Kama serikali haikujua huo ni uzembe mkubwa. Hiyo haitoi excuse kwa mhalifu. Kutakuwa na makosa mawili; Kwanza uzembe wa serikali na pili wahamiaji haramu.
Huu wa serikali sisi Watanzania tuta deal nao kwasababu ni tatizo sugu, lakini basi wahamiaji HARAMU waondoke kwasababu ni haki yao kuondoka na si haki yao kuishi bila kujua ni akina nani na wanafanya nini.

Katika nchi za ulaya na marekani ulizotaja hakuna iliyowahi kutoa uraia kwa wakimbizi kwa siku moja katika idadi ya 160,000. Je, hapo rekodi ya Tanzania haionekani? Kwanini ionekane kwa 10,000 tena wanaoombwa warudi kwao.

Nadhani kupewa muda wa kuondoka ni ukarimu sana ukizingatia uingiaji na ukaaji wao ni haramu.
Kilichopaswa kufanywa ni kuwazingira kuwakamata na kuwashtaki kwasababu wamevunja.
Kwa hili nadhani serikali imekiuka taratibu zake na kuvunja katiba kwa kutoacha mkondo wa sheria ufanye kazi yake

Suala la kuoa, kuzaa watoto n.k hilo ni la mtu binafsi. Hakuna taifa linalotoa uraia kwa mtu kwasababu amezaa watoto.
Watoto watapewa hadhi yao ya uraia na hiyo haiondoi ukweli kuwa wazazi wao ni wahalifu na wanatakiwa wachukuliwe hatua za kisheria na wala si kuambiwa waondoke.

Na mwisho, kwani kuna tatizo gani wao kuambiwa wameingia kinyume cha sheria na warudi kwao? Sheria au haki gani ya binadamu imekiukwa?
 
Ni kweli nchi hii ina wahamiaji wengi tatizo la wahamiaji wa kutoka Rwanda watakapokaa muda mrefu tutakuwa tunatengeneza akina Sultani Makenga wengi..maana hata wao walienda huko Congo kama wahamiaji but baada ya kukaa muda mrefu wanajifanya huko ni kwao wakati ni wahamiaji tu...JK ameliona hili wasije baadae wakalianzisha na kudai hapo kagera ni kwao kumbe tuliwakaribisha vizuri....wanajulikana tabia zao hao sio siri na kuna wachangiaji wengi humu ndo vizalia vyao basi vimejua kiswahili vinajidai "born here here" kumbe ndo huu uzawa wa wahamiaji haramu...big up JK cku 14 zinawatosha wakabanane huko huko kwao...huku nafasi zimejaa!!
Wakimbizi wanapokataa kuishi Tanga au Lindi na wanataka kuishi karibu na nyumbani kwao Kigali inafikirisha sana. Tujiulize wao wanataka ukaribu na kwao au wanataka hifadhi. Sasa hili la wahamiaji haramu tunalitofautisha vipi ikiwa ni hao hao waliokuwa wakimbizi na kukataa kuishi Tanga. Na kwanini basi tunasheria za uhamiaji kama tunaona tunachokifanya ni makosa. Kwanini tusichane sheria hizo ili kila atakaye aje.
 
Na wewe usipotukana utakosa cheka Bombastik pale makao makuu kino?
Ustaadh makalio huna mpya, bora uendelee kulamba kitoa haja cha shetani wenu Mohamed Saidi maana ndio uwezo wako wa akili ulikoishia
 
Moja ya ya sifa kubwa kabisa ambazo hayati Mwalimu Nyerere alikuwa nazo ni muono au kwa kiingereza "Vision". Ndio maana hakuwafukuza watu kiholela baada ya vita ile na Nduli Idi Amin.

Ila Milton Obote alikuja kufanya makosa kwa kuwafukuza raia wa Rwanda ambao waliishi nchini Uganda tangu mwaka 1940.Na alikuwa kila mara akisumbuliwa na kumbukumbu hii.

Sasa mheshimiwa raisi Jakaya Kikwete kwa kufuata njia hii (au ushauri) ya kuwatimua raia wanaodaiwa kuwa ni haramu (maana kuna taarifa kwamba kuna pasi za watanzania/wanyarwanda zimechanwa na maofisa wa uhamiaji mpakani Rusumo) na ambao wamekuwa wakiishi nchini mwetu mwaka miongo hadi minne.

Lakini raisi Kikwete akumbuke kwamba hata raia wa Tanzania wakikimbilia Rwanda kupitia mpakani Rusumo siku ambayo nchini mwetu hakutakalika, serikali ya Rwanda itawapokea kwa moyo mmoja kwani wao ni ndugu zetu.

Isitoshe ugomvi wa maraisi wetu hawa wawili hauwezi kusababisha ujirani, undugu, mshikamano na umoja kati ya watanzania na wanyarwanda uvunjike.

Haya ni mambo ya kuzingatia sana kabla ya kutoa maamuzi mazito na rahisi lakini yanatengeneza jamii zingine za kesho.
Kuishi Tanzania hata miaka 50 hakuondoi ukweli kuwa mtu huyo ni mhamiaji haramu.

Ili kuondoa sintofahamu hiyo ndio maana kuna uraia wa kuzaliwa na uraia wa kupata.
Kwa miaka 40 kama mtu hakuchukua hatua za kuomba uraia na aliishi tu kwasababu amefika katika pori lislo na mwenyewe ni makosa.

Pili, baada ya vita ya Kagera sijui nyerere alipaswa kumfukuza nani! Hapa naomba ufafanuzi

Tatu, mbona hamkumbuki kuwa ni Tanzania hiyo imetoa urai wa watu zaidi ya 190,000 kwa mikupuo miwili achilia mbali wengine wanaopata kila siku?

Na hapa suala si wakimbizi, Tanzania haifukuzi wakimbizi.
Tumewshawahi kuwa na Wakimbizi milioni 2 kwa wakati mmoja.
Tunachoongelea hapa na ambacho umekitaja ni wahamiaji haramu

Lazima uelewe tofauti ya vitu hivyo viwili na ujitahidi sana kuvitenganisha.
Hakuna wakimbizi wa Rwanda kuna wahamiaji toka nchi jirani

Kwa vile kuna neno haramu basi lipo halali.
Sasa kinachobainisha halali na haramu ni sheria. Hawa hawakupewa fursa ya kukamatwa na kuburuzwa mahakamani hata kama wana watoto na wajukuu.

Wamepewa fursa ya kuondoka kwa amani na salama.
Matatizo ya madeni, mali n.k ni yao kwasababu hatujui walipokuja kwa njia haramu wallikuja na nini.

Kuna uwezekano walikuja na bunduki wakaua raia wa Tanzania kwenye mabasi na majumbani, leo eti wapewe muda wa kuondoka na mali zao! zipi walizo declare wakati wanakuja?
Zipi tunazojua walizipata kwa njia halali?!
 
ajulikane mwanzo wapiiiiii?.wewe mdomo huyo utakuponza sijaona point hapa.Hivi umelielewa swali?.sasa umesikia kagame amesema nini kuhusu watanzania wanaoishi huko Rwanda?.Nina marafiki zangu wanaishi huko ni watanzania.Nanilikuwa nawasiliana nao nilikuwa na wasiwasi mkubwa juu yao.kwani wana maduka makubwa huko.kwa muda ambao mkuu wako katoa kuwaambia wanyarwanda kurudi kwao ndivyo kagame angetoa muda anaoujua.Lakini sasa nashukuru Kagame ni smart.Sasa ujue nani hapa ni samrt kati ya Kikwete na Kagame?
 
jokaKuu,
Mwalimu alizingatia sheria. Asingeweza kuwafukuza Wanyarwanda wakati wake kwa sababu wengi wao walikuwa wakimbizi. Mwalimu pia alikuwa nationalist na pan africanist. Alikerwa na hii mipaka ambayo imewagawa Wamasai na Wakurya pande mbili mbli. Mwaka 1975 Mobutu alifukuza Watanzania waliokuwa wanaishi Congo, akiwemo mzee wa miaka 70 aliyeishi Congo kwa miaka 50. Mwalimu alikataa kuwafukuza wakongomani walioko Kinondoni ingawa kuna baadhi katika serikali yake waliotaka afanye hivyo. Naona Kagame amekuwa mwanafunzi mzuri wa sera za Mwalimu. Siyo kwamba namkatisha tamaa Kikwete. Ila nina mashaka na timing yake na lengo. Mpaka watakapofukuzwa wahindi na wapakistani na wachina walio nchini kinyume cha sheria ndio labda nitampa a little bit slack. But this reeks of a village chief miffed by a leader of another village and takes retribution on people from the village of the other chief.
Jasusi,

..hivi tuna uhakika kwamba maadui wa Samora Machel, au Keneth Kaunda, wangekimbilia Tanzania, Mwalimu angewapa hifadhi?

..zaidi, je wale waliotaka kumpindua Nyerere wangekimbilia Malawi, mna uhakika Mwalimu asingewakabidhi wakina Kanyama Chiume ilimradi na yeye awatie mkononi wabaya wake?

..Sijui kama mnakumbuka kwamba wakina Ochuka toka Kenya walipewa hifadhi hapa Tz, mpaka pale kina Hatibu Gandhi na Thomas Lungakingira walipokimbilia Kenya.

..nadhani tunaposema Mwalimu alitoa hifadhi kwa mkimbizi huyu au yule, tuangalie na kule alikotokea pia.

..kwa upande mwingine, JK hajafukuza mtu yeyote anayetambulika kwa sheria na vyombo vya kimataifa kama mkimbizi.

..JK ana rekodi ya kuwapa uraia wa Tanzania wakimbizi 160,000 toka Burundi. wahamiaji haramu ni tatizo, na ninawaomba wa-Tz wenzangu tui-challenge serikali yetu idhibiti mipaka yetu.

cc Sikonge, Mzee Mwanakijiji, Ogah
 
Last edited by a moderator:
Jokakuu,

Hakuna anayepinga hawa Wazamiaji kurudishwa makwao. Tatizo ni TIMING and APROACH.

Soma hapa: https://www.jamiiforums.com/kenyan-...na-raila-odinga-kule-kampala.html#post7041075
Jasusi,

..hivi tuna uhakika kwamba maadui wa Samora Machel, au Keneth Kaunda, wangekimbilia Tanzania, Mwalimu angewapa hifadhi?

..zaidi, je wale waliotaka kumpindua Nyerere wangekimbilia Malawi, mna uhakika Mwalimu asingewakabidhi wakina Kanyama Chiume ilimradi na yeye awatie mkononi wabaya wake?

..Sijui kama mnakumbuka kwamba wakina Ochuka toka Kenya walipewa hifadhi hapa Tz, mpaka pale kina Hatibu Gandhi na Thomas Lungakingira walipokimbilia Kenya.

..nadhani tunaposema Mwalimu alitoa hifadhi kwa mkimbizi huyu au yule, tuangalie na kule alikotokea pia.

..kwa upande mwingine, JK hajafukuza mtu yeyote anayetambulika kwa sheria na vyombo vya kimataifa kama mkimbizi.

..JK ana rekodi ya kuwapa uraia wa Tanzania wakimbizi 160,000 toka Burundi. wahamiaji haramu ni tatizo, na ninawaomba wa-Tz wenzangu tui-challenge serikali yetu idhibiti mipaka yetu.

cc Sikonge, Mzee Mwanakijiji, Ogah
 
Jasusi,

..hivi tuna uhakika kwamba maadui wa Samora Machel, au Keneth Kaunda, wangekimbilia Tanzania, Mwalimu angewapa hifadhi?

..zaidi, je wale waliotaka kumpindua Nyerere wangekimbilia Malawi, mna uhakika Mwalimu asingewakabidhi wakina Kanyama Chiume ilimradi na yeye awatie mkononi wabaya wake?

..Sijui kama mnakumbuka kwamba wakina Ochuka toka Kenya walipewa hifadhi hapa Tz, mpaka pale kina Hatibu Gandhi na Thomas Lungakingira walipokimbilia Kenya.

..nadhani tunaposema Mwalimu alitoa hifadhi kwa mkimbizi huyu au yule, tuangalie na kule alikotokea pia.

..kwa upande mwingine, JK hajafukuza mtu yeyote anayetambulika kwa sheria na vyombo vya kimataifa kama mkimbizi.

..JK ana rekodi ya kuwapa uraia wa Tanzania wakimbizi 160,000 toka Burundi. wahamiaji haramu ni tatizo, na ninawaomba wa-Tz wenzangu tui-challenge serikali yetu idhibiti mipaka yetu.

cc Sikonge, Mzee Mwanakijiji, Ogah

jokaKuu,
What are you trying to say? Kanyama Chiume helped put Banda in power na alikimbilia Tanzania kwa sababu ya udikteta wa Banda. Banda hakuwa na mahusiano mazuri na Mwalimu. Kanyama Chiume amefia Tanzania. Maadui wa Kaunda wasingekimbilia Tanzania. Wangekimbilia Afrika kusini. So that is out of the question. Mwalimu hakuchagua achukue wakimbizi kutoka wapi na asichukue kutoka wapi. Mkimbizi ni mkimbizi. And for your information akina Ochuka walirudishwa kwao kwa makubaliano ya Sokoine na yule waziri wa kimasai wa Kenya, Ole Ntimama, kama kumbukumbu zangu ni sahihi. It was one of the things that were done without Mwalimu being aware. Na kama unabisha Butiku bado yupo pale Dar. So what are you trying to say? Sijasikia wakimbizi wa Kisomali wakifunga virago kurudi kwao. Tunarudi pale pale. Mwito wa Kikwete umewalenga ndugu zetu Wanyarwanda. Prove me wrong.
 
..JK ana rekodi ya kuwapa uraia wa Tanzania wakimbizi 160,000 toka Burundi. wahamiaji haramu ni tatizo, na ninawaomba wa-Tz wenzangu tui-challenge serikali yetu idhibiti mipaka yetu.

cc Sikonge, Mzee Mwanakijiji, Ogah

JokaKuu; hawa wakimbizi ambao walipewa uraia na Kikwete kwa wingi hivyo walikuwa wapi katika Tanzania? (hili ni swali la mtego kuweka rekodi sawasawa)
 
Tatizo la wahamiaji haramu halijaanza leo, ni la muda muda mrefu, na haliko kagera tu, mipakani pote watu wanaingia TZ kama kwao. pia ukumbuke kuwa hawa wametapakaa nchi nzima kwa sasa, so ningetegemea rais aongelee wahamiaji wote, yaani iwe ni operation ya taifa Zima. Kimsingi timing ya uamuzi huu wa rais, na aina ya wahamiaji ambao tunajua ndo wataathirika sana na tamko hili wanaeleweka, so nahisi uamizi n wa jazba iliyotokana na kutuolewana kwake na kagame,

Tatizo la foleni Dar es Salaam halijaanza leo na wala halipo Morogoro road peke yake. Kwanini hujahoji rapid transport ijengwe barabara zote za jiji, na iwe operation ya miji yote nchi nzima?
 
ajulikane mwanzo wapiiiiii?.wewe mdomo huyo utakuponza sijaona point hapa.Hivi umelielewa swali?.sasa umesikia kagame amesema nini kuhusu watanzania wanaoishi huko Rwanda?.Nina marafiki zangu wanaishi huko ni watanzania.Nanilikuwa nawasiliana nao nilikuwa na wasiwasi mkubwa juu yao.kwani wana maduka makubwa huko.kwa muda ambao mkuu wako katoa kuwaambia wanyarwanda kurudi kwao ndivyo kagame angetoa muda anaoujua.Lakini sasa nashukuru Kagame ni smart.Sasa ujue nani hapa ni samrt kati ya Kikwete na Kagame?
Una miss point kubwa kama wanavyo kosa wengi wa wachangiaji .

Tanzania haiwafukuzi Wanyarwanda wanaoishi kwa halali, wanaondoa wahamiaji haramu.

Kama wapo Wanyarwanda na wapo wengi sana wanaishi kwa njia zinazokubalika kisheria, hakuna sababu ya kuwaondoa. Na hao Watanzania unaosema wana maduka huko ni kwasababu wanaishi kwa njia za halali.
Kama wapo wahamiaji haramu na wewe unajua kuwa it is unlikely basi waondoke Rwanda.

Kagame hana sababu za kuwafukuza Watanzania halali kama ambavyo Kikwete hanazo.
Tofauti ya wawili hawa ni kuwa Kagame hana wa kuwafukuza na Kikweta anao wahamiaji haramu .
Sasa hapo u-smart wa Kagame upo wapi?
Yeye akiwafukuza si wengi(kama wapo kwa njia za haramu) wakati kuna zaidi ya 20,000 waliohamia Tanzania.

Tofauti nyingine ni kuwa hao Watanzania wanashuguli zao na hawajafanya ujambazi kama ulivyosema, wana maduka. Hawajanyang'anya mtu ardhi wala kupeleka mifugo huko.

Wanyarwanda wamekuwa tatizo la kuingiza silaha na kutishia maisha ya Watanzani.
Wameteka ardhi kwa kutumia bunduki na magrenade. Hapo huoni tofauti ndugu yetu Mnyarwanda?

Labda nikuulize hao Watanzania wenye maduka wamewahi kuzuia mabasi ya abiria mangapi na kuwapora?
Sisi tuna ushahidi kuwa raia wa jirani hasa Rwanda na Burundi wamekuwa tatizo kwa usalama wa mikoa ya magharibi kwa kuingiza silaha na kuua watu. Hujaona tofauti hapo ndugu yetu?

Kwahiyo wewe na wachangiaji au wasomaji lazima muwe na upeo wa kutofautisha kati ya wakimbizi, wahamiaji haramu na wahamiaji halali. Tanzania haina tabu na makundi mawili isipokuwa hilo la haramu.

Hivi kuna tatizo gani PK akitumia sheria za nchi yake kuwatimua Watanzania warudi kwao kama wapo kwa njia za haramu?Kwanini ionekane ni haramu kwa JK kutimua wahamiaji haramu na ionekane ni halali kwa Sweden kutimua Wasomali?

Wewe ulitaka Rwanda ihamie Bukoba ili ndugu zetu wa Bukoba wachukue ukimbizi Mwanza na Dar es Salaam eti kupisha watu wa PK waanzishe yale ya DRC! Huo ndio U-smart wa Kagame kuchochea mauaji, ubakaji na udhalilishanji?

Kagame angekuwa smart asingemjibu JK kwa kumtukana, angeongea na Intarahamwe, as long as hataki kutafuta njia za kumaliza tatizo la DRC ambalo yeye ni key player, Kagame is stupid!
As long as yeye anaamini katika bunduki na magrenade he is stupid

PK angekuwa smart asingeleta mtafaruku ndani ya EAC.
EAC ilikuwa salama kabla ya Kagame hajapewa uanachama.

Angekuwa smart asingekuja na madai ya kuhamisha makao makuu badala yake angetumia nafasi hiyo kuhimiza undugu ikiwa ni pamoja na kuruhusiwa uhamaji wa mali na watu katika Jumuiya ili watu wake wanaoteska leo wawe na muafaka. Kwa vile ni stupid amezidi kuchochea migogoro badala ya kuwa sehemu ya suluhu.

Tatizo la Mwanakijiji ni kutokuijua Tanzania vizuri.

Yaani macho yake yameishia kuona kwamba wahamiaji haramu ni swala linalohusu chokochoko za kagame. Hujui kabisa kuwa Tanzania kuna sehemu huwezi kusafiri bila escort ya polisi kwa sababu ya wahamiaji haramu.

Hivi hao waganda unaowazungumzia walikuwa wanazuia watanzania kufanya movements zao nchini kwao?

Kumchukia kwako Kikwete kunakufanya kila analosema au kulifanya utafute jinsi ya kulipinga!

By the way, unapomlinganisha Nyerere na Kikwete unataka kujustify nini???

Chuki itakupeleka kubaya Mwanakijiji.
Mkuu nakubaliana nawe katika hoja zako. lakini pia ni muhimu kujua kuwa uhamiaji haramu, na ujambazi wanaotufanyia ni matokeo ya udhaifu wa serikali ya Kikwete. Kazi ya usalama wa taifa leo hii ni nini? Japokuwa ni kweli Nyerere hakuwa Mungu, lakini nina uhakika ndege ya waarabu isingeweza kutua KIA ikapakiwa Twiga wetu wazimawazima bila ya Nyerere kujua. Kama una umri mkubwa kidogo utakumbuka enzi za Nyerere mgeni yeyote hata awe mtanzania aliwajibika kutambulishwa kwa balozi wa nyumba kumi yeye ni nani anatoka wapi lengo la safari yake na atakaa muda gani. Nani kayaua mambo mazuri kama haya?
 
Una miss point kubwa kama wanavyo kosa wengi wa wachangiaji .

Tanzania haiwafukuzi Wanyarwanda wanaoishi kwa halali, wanaondoa wahamiaji haramu.

Kama wapo Wanyarwanda na wapo wengi sana wanaishi kwa njia zinazokubalika kisheria, hakuna sababu ya kuwaondoa. Na hao Watanzania unaosema wana maduka huko ni kwasababu wanaishi kwa njia za halali.
Kama wapo wahamiaji haramu na wewe unajua kuwa it is unlikely basi waondoke Rwanda.

Kagame hana sababu za kuwafukuza Watanzania halali kama ambavyo Kikwete hanazo.
Tofauti ya wawili hawa ni kuwa Kagame hana wa kuwafukuza na Kikweta anao wahamiaji haramu .
Sasa hapo u-smart wa Kagame upo wapi?
Yeye akiwafukuza si wengi(kama wapo kwa njia za haramu) wakati kuna zaidi ya 20,000 waliohamia Tanzania.

Tofauti nyingine ni kuwa hao Watanzania wanashuguli zao na hawajafanya ujambazi kama ulivyosema, wana maduka. Hawajanyang'anya mtu ardhi wala kupeleka mifugo huko.

Wanyarwanda wamekuwa tatizo la kuingiza silaha na kutishia maisha ya Watanzani.
Wameteka ardhi kwa kutumia bunduki na magrenade. Hapo huoni tofauti ndugu yetu Mnyarwanda?

Labda nikuulize hao Watanzania wenye maduka wamewahi kuzuia mabasi ya abiria mangapi na kuwapora?
Sisi tuna ushahidi kuwa raia wa jirani hasa Rwanda na Burundi wamekuwa tatizo kwa usalama wa mikoa ya magharibi kwa kuingiza silaha na kuua watu. Hujaona tofauti hapo ndugu yetu?

Kwahiyo wewe na wachangiaji au wasomaji lazima muwe na upeo wa kutofautisha kati ya wakimbizi, wahamiaji haramu na wahamiaji halali. Tanzania haina tabu na makundi mawili isipokuwa hilo la haramu.

Hivi kuna tatizo gani PK akitumia sheria za nchi yake kuwatimua Watanzania warudi kwao kama wapo kwa njia za haramu?Kwanini ionekane ni haramu kwa JK kutimua wahamiaji haramu na ionekane ni halali kwa Sweden kutimua Wasomali?

Wewe ulitaka Rwanda ihamie Bukoba ili ndugu zetu wa Bukoba wachukue ukimbizi Mwanza na Dar es Salaam eti kupisha watu wa PK waanzishe yale ya DRC! Huo ndio U-smart wa Kagame kuchochea mauaji, ubakaji na udhalilishanji?

Kagame angekuwa smart asingemjibu JK kwa kumtukana, angeongea na Intarahamwe, as long as hataki kutafuta njia za kumaliza tatizo la DRC ambalo yeye ni key player, Kagame is stupid!
As long as yeye anaamini katika bunduki na magrenade he is stupid

PK angekuwa smart asingeleta mtafaruku ndani ya EAC.
EAC ilikuwa salama kabla ya Kagame hajapewa uanachama.

Angekuwa smart asingekuja na madai ya kuhamisha makao makuu badala yake angetumia nafasi hiyo kuhimiza undugu ikiwa ni pamoja na kuruhusiwa uhamaji wa mali na watu katika Jumuiya ili watu wake wanaoteska leo wawe na muafaka. Kwa vile ni stupid amezidi kuchochea migogoro badala ya kuwa sehemu ya suluhu.

mkuu !acha hadaa kwa kuandika kama gazeti!nilikuuliza swali hukujibu.sasa nauliza jingine...Kuna wahamiaji haramu kutoka DRC waliwahi kuzamisha boti na kuua mwanajeshi pale ziwani Tanganyika.hawa nao wanaondolewa?

Tusipende kusingizia wahamiaji haramu hasa kutoka rwanda wanatenda uhalifu kumbe failure ya system yetu ya ulinzi.
Ni silaha ngapi kutoka majeshi yetu hutumika kwenye ujambazi?

Tusidanganyane eti kuwafukuza wahamiaji haramu kutaleta ahueni ya kiusalama kule kagera.pengine ingekuwa busara kuaddress ni kivipi tulizalisha/tuliruhusu wahamiaji haramu kwani leo hii tunafurusha lakini after few months watarudi tena!
 
Swali lako sikulijibu kwasababu katika nilichokieleza jibu lipo pale tena nikafanya reference ya JokaKuu.
Pili, kuhusu system failure nalo pia nimelieza kwa undani.
Tatu, hoja zangu hapo juu zinapaswa kujibiwa kwa hoja ili hadaa ionekane.

Nne, mimi position yangu kuhusua wahamiaji haramu ipo wazi.
Je wewe position yako ni ipi na kwasababu zipi au gani?

Tano na mwisho, ahsante sana kwa kusoma hoja zangu za gazeti. Usingezisoma wala usingekuwa na cha kuniuliza.
 
shukrani!
Nijibu hiyo namba nne kwa ufasaha kabisa bila chembe ya unafiki.

MSIMAMO WANGU DHIDI YA WAHAMIAJI HARAMU.....

TUANZE NA WAHAMIAJI MAHARAMIA WALIOSHIKA NYADHIFA ZA KICHAMA AMBAO UJANGILI WAO UMETULETEA UMASIKINI,UJINGA NA MARADHI.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom