Swali; viongozi wa umma wanapokuwa mbele ya media ni full uongo

Swali; viongozi wa umma wanapokuwa mbele ya media ni full uongo

Ukiwa mwanasiasa lazima uwe muongo na ndio maana viongozi wa dini biblia inawagaka wasijihusishe na siasa
 
Mkuu...ukitaka kuruka, andaa nyonga..😝
 
Unakuta mtu mzima na ana madaraka lakini anamwaga uongo mtupu
 
Back
Top Bottom