Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Kaka wa mie.Hii ni maneno ya mtu aliyekomaa kwenye ndoa
NAONGEZEA.. ukiona hachepuki.. labda ana UHANITHI unamnyemeleaMama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Mngekuwa mnatoa mashine kila siku tusingekuwa tunachepuka!!! Tatizo hatupewi wakati tuna patent right!Mnakosa nn ndani ya ndoa papuyeee hizo hizo tu
Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanaume asiyechepuka hana mapenzi ya kweli,mwanaume kuchepuka ndiyo kipimo cha ndoa na mapenzi ya kweli usipochepuka hata mkeo atakushangaa na kukuletealetea vidharau nna nyodo za hapa na pale.
Weee, wana hisia kali hao utafikiri wamefuzu mafunzo ya FBIWengine "tumefungwa" zaidi ya mara 70 mpaka wafungaji wanapata message za error code.
Kiufupi wewe timiza wajibu, nikichepukq hutojua. Anaechepuka ukajua huyo hajafuzu uanaume. Ila kuacha hatuwezi, utakuaje na mwanamke mmoja!
Ila msitumwagie maji ya moto, chukulieni poa tu. Tukivurugwa na michepuko tukawa na mafrustration mtuvumiliage na kutufariji pia, maana wengi wenu mkigundua hilo mnachonga balaa.Bwana wee tushajua hamridhiki. Na sisi tutafanya tunanapoweza tukishindwa basi.
Kwavile wanawake wengi zaidi ya wanaume,lazima wanaume waoe mke zaidi ya mmoja. Haiwezekani ujimilikishe Dushelele wakati na wenzio wanalihitaji eti kwa vile umeolewa.sasa hao wengine wapate wapi? Uislamu uliliona hilo mapema ndio maana ukaruhusu mke zaidi ya mmojaMimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke
Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.
Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.
Mrs Jr.
mwanzoni anakuwa navyo kama ukimkuta alijitunza,tatizo mkizoeana,anasahau mazoezi ya kuimarisha uke,usafi na hali aliyokuwa nayo mwanzo,hii inafikia hatua unawahi kumchoka,kila siku mtt wa kike anatakiwa awe na mvuto yeye ni uaNdo nasema mpaka uoe mwanamke hana hivyo vigezo unakuwa wapi
Jipe moyoSio kweli mzigua mwenzangu ukiona mwanaume hachepuki jua ana hofu ya Mungu basi.
Mm wangu hajawahi kuchepuka nawala hana time na wanawake kabisaaa yuko bize na kazi zake na kufanya ibada.
Mdele nagamba vino wagosi WAAMINIFU WAPO
He! uliwe?Nile 0713 uone kama nitatoka