SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Tena bora unyamaze maana siku ukijua hutaamini na macho yako ww shukuru hujaona wala kusikia.
Wallah vile. Tena akijua unasema unasema hacheat anakucheja hatarii [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi kati hapa nilianza ufugaji wa kuku just for leisure na sio wa biashara; nilianza hivi; nilimtembelea jamaa yangu ambaye tuliachana nae miaka mingi sana na nilikwenda na wife, jamaa alinikutanisha na mkewe na wanae then wakati ninaaga back to home, kijana wake alitumwa na mama yake anikamatie kuku/jogoo wife wangu akalipokea, tukiwa njiani back to home tukawa tunajadiri na wife nini cha kumfanya huyo jogoo tuliopewa, wife akasema yeye anataka amfuge; nikashangaa, how ufuge jogoo!? Akasema ye anataka kumfuga tu, jogoo lile lilika halitulii nyumbani aise, kila siku linaruka ukuta, binti yangu wa kazi siku moja nikamsikia anasema, "hili jogoo hua linakwenda kutafuta majike huko nje". Well, nikaona isiwe tabu, ngoja ninunue jike, soon jike lile likaanza kutaga, mwezi mmoja baadae nikanunua jike linguine kwa lengo la kumla, nikashangaa wife akamchanganya kulekule bandani, jike huyu hakukawia kutaga, ameisha taga zaidi ya awamu tatu sasa, majike yapo kadhaa na majogoo 2; ambacho sielewi, lile jogoo "zinifu" pamoja na kuliletea majike kadhaa bado halijaacha kuruka ukuta na kwenda nje na bandani kipo chakula cha kutosha kabisa. Ninacho lipendea jogoo lile ni hiki, hata liende wapi bado jioni/usiku ukifika lazima lirudi nyumbani, halina historia ya kulala nje.
 
Wewe kwako ukitaka kufuga kuku unafuga mitetea mingapi na majogoo mangapi.je unaweza kufuga majogoo wengi alafu mtetea mmoja? au unafuga kinyume chake.Jinsi majogoo wanavyoishi ndivyo na wanaume walivyo na ivyo ndivyo Mungu alivyoumba.Hizi mnazoita ndoa ya mke moja ni taratibu za watu kwenye dini zao ndo maana kila dini inataratibu zake.Mke atabaki kua mke kwasababu zakifamilia ila kwenye kutekeleza majukum yakiume wacha tu tuwatafune kadri tunavyoweza maana mmeumbiwa sisi.
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Baelezee ukweli ukiona mumeo hachepuki kunashida eidha domo lege,mbahili..ila mimi simo humoo [emoji1] [emoji1]
 
Juzi kati hapa nilianza ufugaji wa kuku just for leisure na sio wa biashara; nilianza hivi; nilimtembelea jamaa yangu ambaye tuliachana nae miaka mingi sana na nilikwenda na wife, jamaa alinikutanisha na mkewe na wanae then wakati ninaaga back to home, kijana wake alitumwa na mama yake anikamatie kuku/jogoo wife wangu akalipokea, tukiwa njiani back to home tukawa tunajadiri na wife nini cha kumfanya huyo jogoo tuliopewa, wife akasema yeye anataka amfuge; nikashangaa, how ufuge jogoo!? Akasema ye anataka kumfuga tu, jogoo lile lilika halitulii nyumbani aise, kila siku linaruka ukuta, binti yangu wa kazi siku moja nikamsikia anasema, "hili jogoo hua linakwenda kutafuta majike huko nje". Well, nikaona isiwe tabu, ngoja ninunue jike, soon jike lile likaanza kutaga, mwezi mmoja baadae nikanunua jike linguine kwa lengo la kumla, nikashangaa wife akamchanganya kulekule bandani, jike huyu hakukawia kutaga, ameisha taga zaidi ya awamu tatu sasa, majike yapo kadhaa na majogoo 2; ambacho sielewi, lile jogoo "zinifu" pamoja na kuliletea majike kadhaa bado halijaacha kuruka ukuta na kwenda nje na bandani kipo chakula cha kutosha kabisa. Ninacho lipendea jogoo lile ni hiki, hata liende wapi bado jioni/usiku ukifika lazima lirudi nyumbani, halina historia ya kulala nje.
Hahahahaaaa mkuu nimependa ulivyoliita Jogoo zinifu. Vipi linaporudi huwa linaruka ukuta au unalifungulia geti?
 
Ni ngum sana kuacha kuchepuka

Wengine ni hulka tu, wengine wanaiga, wengine anachepuka tu kutokana na madhila ya wewe kama mkewe unayomfanyia

Wasiochepuka ni wachache sana

Kama mwanaume anakutimizia mahitaji yako yote haina haja kuhangaika naye muhim kumkumbusha tu awe makini na mambo yote

Ndio mana hata sisi upande wetu umehalalisha kuoana wake wanne mwisho na vizur mtu kjanza na wawili unadhani kwa sababu gani???
upo vizuri aliyekuoa ana raha sana
 
Hahahahaaaa mkuu nimependa ulivyoliita Jogoo zinifu. Vipi linaporudi huwa linaruka ukuta au unalifungulia geti?
Kama geti limefungwa, wala halinaga time ya kuruka UKUTA, kwa ufupi, wakati wa kurudi home, linapitia getini, tofauti na linapo taka kutoka nje ya ndoa yake
 
Lakini kumbuka tunachepuka na ninyi, nashauri mkodi ukumbi mkae kikao cha wanawake dunia nzima mjadili maswala mapana yanayowahusu then myawekee msimamo uone kama tunachepuka na nani japo najua baada ya kikao kutokana na njaa zenu mtasaliti maazimio yenu.
 
Mnakosa nn ndani ya ndoa papuyeee hizo hizo tu
Kuna za moto na baridi, kuna nene na ambayo mashavu ni slim, kuna yenye clit kubwa na ndogo, kuna ambaye anajua kuifinyia kwa ndani na gogo, kuna inayonuka na isiyonuka etc.

We iwapo wako anatoka nje, basi ujue huna full package
 
Back
Top Bottom