SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

ila wana wake wa ndoa wanabore some times unaomba unyumba unaaambiwa... we vipi kila siku unawaza kutiana tu lini utafikilia maendeleo?
kwa majibu kama haya kwa mwanaume sijui kama utarudia kuomba tena
 
Mwanaume asiyechepuka hana mapenzi ya kweli,mwanaume kuchepuka ndiyo kipimo cha ndoa na mapenzi ya kweli usipochepuka hata mkeo atakushangaa na kukuletealetea vidharau nna nyodo za hapa na pale.
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
NAONGEZEA.. ukiona hachepuki.. labda ana UHANITHI unamnyemelea
 
Mwanaume asiyechepuka hana mapenzi ya kweli,mwanaume kuchepuka ndiyo kipimo cha ndoa na mapenzi ya kweli usipochepuka hata mkeo atakushangaa na kukuletealetea vidharau nna nyodo za hapa na pale.
Aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuchepuka ni Mwanaume kama mwanaume hachepuki huyo sio Mwanaume
 
Wengine "tumefungwa" zaidi ya mara 70 mpaka wafungaji wanapata message za error code.

Kiufupi wewe timiza wajibu, nikichepukq hutojua. Anaechepuka ukajua huyo hajafuzu uanaume. Ila kuacha hatuwezi, utakuaje na mwanamke mmoja!
Weee, wana hisia kali hao utafikiri wamefuzu mafunzo ya FBI
 
Bwana wee tushajua hamridhiki. Na sisi tutafanya tunanapoweza tukishindwa basi.
Ila msitumwagie maji ya moto, chukulieni poa tu. Tukivurugwa na michepuko tukawa na mafrustration mtuvumiliage na kutufariji pia, maana wengi wenu mkigundua hilo mnachonga balaa.
 
Kwavile wanawake wengi zaidi ya wanaume,lazima wanaume waoe mke zaidi ya mmoja. Haiwezekani ujimilikishe Dushelele wakati na wenzio wanalihitaji eti kwa vile umeolewa.sasa hao wengine wapate wapi? Uislamu uliliona hilo mapema ndio maana ukaruhusu mke zaidi ya mmoja
 
Ndo nasema mpaka uoe mwanamke hana hivyo vigezo unakuwa wapi
mwanzoni anakuwa navyo kama ukimkuta alijitunza,tatizo mkizoeana,anasahau mazoezi ya kuimarisha uke,usafi na hali aliyokuwa nayo mwanzo,hii inafikia hatua unawahi kumchoka,kila siku mtt wa kike anatakiwa awe na mvuto yeye ni ua
 
Sio kweli mzigua mwenzangu ukiona mwanaume hachepuki jua ana hofu ya Mungu basi.

Mm wangu hajawahi kuchepuka nawala hana time na wanawake kabisaaa yuko bize na kazi zake na kufanya ibada.

Mdele nagamba vino wagosi WAAMINIFU WAPO
Jipe moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…