SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Nataka nikuulize ukipewa nn utaacha kuchepuka

Muwe wasafi, mtupikie vyakula tunavyovipenda, muache viburi, muwe ,muhakikishe mumeo anakuwa smart,mjue mumeo anapenda nini,toa Tigo,acheni kuchonga sana nk nk.....mambo haya na mengineyo ndiyo tunayafuata huko nje
 
ingekuwa simple hivyo mbona vitambaa vyeupe vingekuwa na soko Zaidi ya dhahabu
 
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?


Mrs Jr.

Mrs Jr. Mwanaume akiwa na utulivu katika ndoa yake Hawezi chepuka! Zingatia sana hii kitu inaitwa "UTULIVU". Na mbaya zaidi utulivu huu unatoka kwako wewe Mke wa muhusika.
 
Kuhusu pesa kuna wasiokua nazo ila hakosi kuchepuka
kuna mke wa mtu nilimwambiaga leo tusigegedane sina hela ya lodge wala vinywaji...akasema haiwezekani sababu mimi leo ndiyo nina nafasi nitalipa kila kitu haina shida....kwa hiyo hata kama huna hela mchepuko upo pale pale
 
Mtani katika ubora wake...
 
Wengine "tumefungwa" zaidi ya mara 70 mpaka wafungaji wanapata message za error code.

Kiufupi wewe timiza wajibu, nikichepukq hutojua. Anaechepuka ukajua huyo hajafuzu uanaume. Ila kuacha hatuwezi, utakuaje na mwanamke mmoja!
 
Worst aproach.....better utoe ruhusa ili nichepuke kwa nidhamh...halafu kumbuka wenzako wataumia sana ukitaka tusichepuke
 
Kuchepuka ni kama kubadilisha mboga tu.ingawa sometimes unakutana na matembele poli yamepoza kuliko uliyoaacha home.ijapokuwa hotpot lilikuwa linavutia.ila ukianza kula baada ya kumeza tonge la kwanza unatamani hata mikono ukanawie home
 
kuna mke wa mtu nilimwambiaga leo tusigegedane sina hela ya lodge wala vinywaji...akasema haiwezekani sababu mimi leo ndiyo nina nafasi nitalipa kila kitu haina shida....kwa hiyo hata kama huna hela mchepuko upo pale pale
Acha kabisa kuna watu wananuka papuchi

Kuna siku niliazimwa pesa badae ndo nikagundua kua pesa yangu imehusika kufanyia uchafu nilihuzunika sana
 
we demis acha kufunza wenzio ulozi

kuchepuka ni jukumu letu wanaume ktk kuwasais=dia wanawake wenzenu

nyie mko wengi kuliko sie, sa unadhani wenzio hawautak utamu? haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…