SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

hahah
hahahaaa kumbe nashukuru kwa somo kuanzia leo sitaki niguswe na kitambaa cheupe,ila cha kijani au rangi nyingine sawa,nashukuru kungwi kwa huruma zako kwetu wababa thawabu yako utaipata mahali palipo tukuka,
 
Mke mwenza
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Babe hii habri ya kitambaa cheupe ni kweli..?
 
wanaume wengine wanachepuka sababu ya kufuata mnato ,uke mnato mzuri saaaaana mjitahidi kuwe na mbano fulani hivi sio bwawa,halafu vile vilio hata kama ni feki msiviache,ila mmbadili tu aina ya vilio
 
Of course umeongea kama binti mdogo tu, na nitakujibu kama Dada yako tu.

Don't stress yourself over things you cannot control. A man cheats simply because he has chosen to cheat na sio vingine. Usijidanganye hana hela ndo maana ha cheat. Ku cheat ni uamuzi.

Kingine ni kwamba ukishamfunga hivyo, then what? Je, unaelewa impact psychologically kwa mwanamme kutoweza ku erect huku akijua fika hana tatizo jingine?

Je, utahandle vipi trauma ya mwenzio kipindi hiki ambacho anakuwa na stress hizo huku ukijua kabisa kinachoendelea umemfanyia wewe?

Unaelewa kwamba mwanamme wa hivi anakuwa affected hata mishe za kila siku za kumuingizia hela anakuwa hawezi kuzipiga? Mtaishije just because you chose to let your jealousy get out of hand?

Waza mbele kidogo. What if things go wrong iwe akiwa kwako ndo hatapata erection kabisa? Na je, what if you get caught? Not all men are stupid my dear. Don't cross that line.

Plus kuna kesho. Kesho ya Bwana Karma daadeqi, na kuna kesho ya Mungu. Hamad ndo umejitotolea kitoto chako cha kiume.

Deep down utaishije.
 
Kama tusingekuwa tunachepuka hakika usingeanzisha uzi huu. Kuchepuka kwetu leo hii ndio kumesababisha ukaadika uzi huu. Ubarikiwe sana mama
 
wanaume wengine wanachepuka sababu ya kufuata mnato ,uke mnato mzuri saaaaana mjitahidi kuwe na mbano fulani hivi sio bwawa,halafu vile vilio hata kama ni feki msiviache,ila mmbadili tu aina ya vilio
Ndo nasema mpaka uoe mwanamke hana hivyo vigezo unakuwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…