SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

Bora umekuwa mkweli wengine hawasemi kujifanya watakatifuu mfyuuu mm sinaga hizooo kama nilishapitia mbn kawaida tu
Ni kweli kabisa tena ukiwa mkweli unaongeza nafasi ya kupata kibarua sehemu nyingine maana utakuwa na uzoefu wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…