SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

ndo ukweli huo, halafu nataka nibook space kwako ila nasubiria sikukuu ipite kwanza tujaze vzr hilo boda boda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muongo wewe
 
Wifi umekua upepo ama kitu gani??
Juzi ulikua Dar Jana Mapinga sijui Mafinga leo tena Tegeta
 
mpaka sasa ukijumlisha na mke wangu huyu ni Dar lux youtong bus 3 zinajaa full seat
 
Wangu sijui kama nitawakuta, maana unaleta mmoja unamuingiza kwenye noah, unafuata mwingine, ukirudi unakuta yule wa mwanzo kachukuliwa maana ni x wa mtu mwingine pia. Ah boda tu itatosha kumbeba mmoja nitakaye mpata wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…