SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

Hivi mtu wa one night stand
Unamkumbukaje!?
hahah.. umenikumbusha kipindi hicho cha kusoma enzi za new maisha club

ilikuwa jtatu nimeingia class sasa kuna demu hatusomi naye same course ila hyo module tushare akawa ananiangalia sana

ikabidi niwaulize mshkaji "oya jacob yule demu wa procure mbona anatuchek sana unamjua nini?"

jacob akasema we msenge kweli kwani yule demu humkumbuki juzi uliondoka naye maisha club 😂😂😂
 
Reli ya kati
 
Ma-Mister Misifa NAWAKUMBUSHA tu kuwa Suleiman ni mbabe wenu kwa orodha ya kufaidi wanawake wengi maana alimwomba Mungu tu hekima lakini alizidishiwa kila aina ya raha ambapo tangu dunia iumbwe hata itakapoharibika haitatokea kamwe Mwanaume aliyefaidi starehe kama Suleiman.

TUMWOMBE MUNGU HEKIMA SANA ILI TUZIDISHIWE VINGINE VIZURI ZAIDI KATIKA MAISHA YETU.
 
Kuna watu watazimia na pressure ndo ukute mchumba kakufunga hicho kitufeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ex kama watano tu katika maisha yangu, kwa hiyo hata cab ya six seater inatosha,wengine wote niliowala nawachukulia kama Malaya,mkesha wa xmas tu nimekesha na malaya wawili wa rangi tofauti ninachokumbuka ni pesa niliyoliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…