Ngoja niondoke maana silagi kiporo mimiHahahaha na kwelii
Nataka cha moto mimi, kiporo cha baridi sina muda nachoNilikwambiaje lakin ndo maana umekutana na viporo
Viporo vingine havivumiliki kabisa aiseeKipoo ninacho sasa tufanye kesho jion
Kiporo kitamu hasa cha ubwabwa na maharage
Bila kusahau maziwaNa mlendaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani yatakataza maziwa mengine kutoka...[emoji3][emoji3]Maziwa mm hapana
Hata bado sijaanza kabisa[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeanza mambo yakooo
Wewe ulivyo mzinzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kilevi kimoja kinaitwa Methanol huwa nabusti kidogo kabla sijaanza kuhudumia watanzania maana bila kuwa mchangamfu na jasiri kazi haiendi...Hivi umeanza kutumia vilevi lini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha na kweli kwa hizo mishee zenu lazima mbust[emoji23][emoji23][emoji23]na vidonge vya valiumKuna kilevi kimoja kinaitwa Methanol huwa nabusti kidogo kabla sijaanza kuhudumia watanzania maana bila kuwa mchangamfu na jasiri kazi haiendi...