Swamidwa Habidadi Mkulima Mwenye Ndoto Kubwa Kutoka Burkina Faso

Swamidwa Habidadi Mkulima Mwenye Ndoto Kubwa Kutoka Burkina Faso

Nakaona insta na sehemu mbalimbali.Nilichogundua ni Gen Z anayetafuta content kupitia kilimo.Ili uweze kupata Mashabiki kwa mtoto wa kike Kuna kitu kinaitwa "meet the men's sexual desires "Ameweza kukonga mioyo ya wanaume wengi kwa wajihi wake(muonekano),chuchuz konzi,ana hips zenye uvungu,kako natural,ila kama ni kulima sizani kama anaweza hata kuamia ndege😁...huku bush wapo wengi tu vijijini mabinti wanalima na wako na maendeleo makubwa tu...sema hii post atakuwa ni yeye au Mtu wake wa karibu amekuja kumpromoti.
 
Nilipomuona nilijua mtu wa Arusha au Manyara kumbe bukinafaso.
Warembo wa Bongo wakianza kilimo watapata utajiri sana maana huyu dada anatrend sana msimu huu.
Sasa ukizingatia FB wanalipa kwa views.
 
Swamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea kikamilifu katika shughuli za kilimo kuliko masomo yake.

Aligawa shamba alilorithi kutoka kwa wazazi wake, ambalo lina ukubwa wa hekta 6, na kupanda mazao mbalimbali kama mchele, mahindi, maharage, soya, na matunda. Sehemu nyingine ya shamba lake imetengwa kwa ajili ya kilimo cha mazao ya viwandani. Shamba hili ndiyo tegemeo lake kuu la kipato.

Mwaka huu, Swamidwa amevuna mavuno makubwa ya mazao; magunia 10,000 ya mahindi, magunia 8,000 ya mchele, na magunia 5,000 ya karanga. Pia, ana mifugo mingi ikiwa ni pamoja na ng'ombe zaidi ya 900 na mbuzi 500. Ameajiri jumla ya wafanyakazi 40, ambao ni wanaume 20 na wanawake 20, na ana trekta kwa ajili ya kurahisisha shughuli za kilimo.

Swamidwa pia ni mfanyabiashara aliye na magari kadhaa ya kifahari, yakiwemo BMW 4, Mercedes Benz wagon 2, na Range Rover 3. Anamiliki gari la Vx Hilux na pia amewanunulia wafanyakazi wake pikipiki 40 kwa ajili ya kurahisisha usafiri wao. Amejenga hoteli kubwa tatu katika eneo lake.

Mbali na mafanikio yake ya kilimo, Swamidwa ni mtoaji mkubwa wa misaada kwa jamii yake. Ameleta umeme na maji safi katika eneo analoishi, na kwa ujumla ni mtu muhimu na tegemeo kubwa kwa jamii inayomzunguka. Yeye ni mfano wa mtu mwenye mafanikio makubwa kupitia kilimo na kujitolea kusaidia wengine.

View attachment 3080182

View attachment 3080183

View attachment 3080184View attachment 3080185
View attachment 3080186
View attachment 3080187

View attachment 3080188

View attachment 3080189

View attachment 3080190

View attachment 3080191
Huyu dada uliyomuweka hapo ni mtanzania,ufanye research kabla ya kupost
 
Nakaona insta na sehemu mbalimbali.Nilichogundua ni Gen Z anayetafuta content kupitia kilimo.Ili uweze kupata Mashabiki kwa mtoto wa kike Kuna kitu kinaitwa "meet the men's sexual desires "Ameweza kukonga mioyo ya wanaume wengi kwa wajihi wake(muonekano),chuchuz konzi,ana hips zenye uvungu,kako natural,ila kama ni kulima sizani kama anaweza hata kuamia ndege😁...huku bush wapo wengi tu vijijini mabinti wanalima na wako na maendeleo makubwa tu...sema hii post atakuwa ni yeye au Mtu wake wa karibu amekuja kumpromoti.
Huyo ni content creator sio mkulima makini , anajipost kila muda yaani simuelewi kabisa .
 
Huyu kule twitter kuna mbongo anawapiga watu kwa kutumia picha zake anajiita Reyna farm co Ltd 😃 alafu hapo umetupiga, shamba hekta 6 bado amegawa kwa mazao mbalimbali alafu eti mahindi gunia 10,000 mchele gunia 8,000? Sijui na mazao mengine? Eti anamiliki BMW4 , mercedez.. umejuaje? 😃😃😃
 
Huyo ni mbongo acheni kumuuza mara m south mara Burkina faso,,,Yan hayo ma parody ya south na Burkina Faso yamejua kutuibia mtu wetu,,na wabongo nao wanafata mkumbo tu Burkina Faso ,south Africa wanaongea Kiswahili toka lini ?
Hata mim nimeshangaa hayo magunia ya mpunga aliyotumia hapo ni ya kibongo
 
Tunae istagram kule mtu wa huko kaskazini marangu sijui, haha ni mpambanaji lakini sio kama mleta maana alipoainisha hapa, amedanganya pakubwaa mno
 
Huyu kule twitter kuna mbongo anawapiga watu kwa kutumia picha zake anajiita Reyna farm co Ltd 😃 alafu hapo umetupiga, shamba hekta 6 bado amegawa kwa mazao mbalimbali alafu eti mahindi gunia 10,000 mchele gunia 8,000? Sijui na mazao mengine? Eti anamiliki BMW4 , mercedez.. umejuaje? 😃😃😃
Mweke hapa tumwone mkuu.
 
Huyo ni content creator sio mkulima makini , anajipost kila muda yaani simuelewi kabisa .
Anatumika kutakatisha pesa za wakubwa tu,no kweli lakini sio kwa mtaji huo alionao sasa!

Kuna watu nyuma yake,ni SAWA na wale madem wanaojenga magorofa makubwa hapa town!
 
Anatumika kutakatisha pesa za wakubwa tu,no kweli lakini sio kwa mtaji huo alionao sasa!

Kuna watu nyuma yake,ni SAWA na wale madem wanaojenga magorofa makubwa hapa town!
Ni kama anaishi kwao huko ila kutwa anapiga picha mashambani , sasa angalia nguo zake ndio utajua kama ni mkulima kweli au mzugaji .
 
Kwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.

Unatuchukuliaje mzee
Ni muongo wa kutupwa

Heka sita ununue magari yote hayo fix tupu
 
Huyu dada uliyomuweka hapo ni mtanzania,ufanye research kabla ya kupost
Daa nilitaka kushangaa hata mimi huwa namuona kama mbongo. Ila picha zake zimetapakaa dunia nzima kwa sasa. Sio ajabu kesho ukaambiwa ni mkenya aliyekimbilia texas kujitafutia kipato kwenye mashamba huko.
 
Back
Top Bottom