Huyu dada uliyomuweka hapo ni mtanzania,ufanye research kabla ya kupostSwamidwa Habidadi ni kutoka Burkina Faso ambaye ni mkulima mwenye mafanikio makubwa. Alianza kilimo akiwa na umri mdogo wa miaka 16 baada ya wazazi wake kufariki dunia, na kwa sasa amejitolea kikamilifu katika shughuli za kilimo kuliko masomo yake.
Aligawa shamba alilorithi kutoka kwa wazazi wake, ambalo lina ukubwa wa hekta 6, na kupanda mazao mbalimbali kama mchele, mahindi, maharage, soya, na matunda. Sehemu nyingine ya shamba lake imetengwa kwa ajili ya kilimo cha mazao ya viwandani. Shamba hili ndiyo tegemeo lake kuu la kipato.
Mwaka huu, Swamidwa amevuna mavuno makubwa ya mazao; magunia 10,000 ya mahindi, magunia 8,000 ya mchele, na magunia 5,000 ya karanga. Pia, ana mifugo mingi ikiwa ni pamoja na ng'ombe zaidi ya 900 na mbuzi 500. Ameajiri jumla ya wafanyakazi 40, ambao ni wanaume 20 na wanawake 20, na ana trekta kwa ajili ya kurahisisha shughuli za kilimo.
Swamidwa pia ni mfanyabiashara aliye na magari kadhaa ya kifahari, yakiwemo BMW 4, Mercedes Benz wagon 2, na Range Rover 3. Anamiliki gari la Vx Hilux na pia amewanunulia wafanyakazi wake pikipiki 40 kwa ajili ya kurahisisha usafiri wao. Amejenga hoteli kubwa tatu katika eneo lake.
Mbali na mafanikio yake ya kilimo, Swamidwa ni mtoaji mkubwa wa misaada kwa jamii yake. Ameleta umeme na maji safi katika eneo analoishi, na kwa ujumla ni mtu muhimu na tegemeo kubwa kwa jamii inayomzunguka. Yeye ni mfano wa mtu mwenye mafanikio makubwa kupitia kilimo na kujitolea kusaidia wengine.
View attachment 3080182
View attachment 3080183
View attachment 3080184View attachment 3080185
View attachment 3080186
View attachment 3080187
View attachment 3080188
View attachment 3080189
View attachment 3080190
View attachment 3080191
Parody anaongea kiswahil!Parody lile la kibongoπ
Unaijua hekta na eka!!?hekta ni kubwa mara 1000 ya Eka!Mimi nimechanganywa akili sana, hekta 6 tu ndio avune mazao yote hayo?
Hii sio chai bali ni uji tena uliopoa
Huyo ni content creator sio mkulima makini , anajipost kila muda yaani simuelewi kabisa .Nakaona insta na sehemu mbalimbali.Nilichogundua ni Gen Z anayetafuta content kupitia kilimo.Ili uweze kupata Mashabiki kwa mtoto wa kike Kuna kitu kinaitwa "meet the men's sexual desires "Ameweza kukonga mioyo ya wanaume wengi kwa wajihi wake(muonekano),chuchuz konzi,ana hips zenye uvungu,kako natural,ila kama ni kulima sizani kama anaweza hata kuamia ndegeπ...huku bush wapo wengi tu vijijini mabinti wanalima na wako na maendeleo makubwa tu...sema hii post atakuwa ni yeye au Mtu wake wa karibu amekuja kumpromoti.
Hata mim nimeshangaa hayo magunia ya mpunga aliyotumia hapo ni ya kibongoHuyo ni mbongo acheni kumuuza mara m south mara Burkina faso,,,Yan hayo ma parody ya south na Burkina Faso yamejua kutuibia mtu wetu,,na wabongo nao wanafata mkumbo tu Burkina Faso ,south Africa wanaongea Kiswahili toka lini ?
Mweke hapa tumwone.Tunae istagram kule mtu wa huko kaskazini marangu sijui, haha ni mpambanaji lakini sio kama mleta maana alipoainisha hapa, amedanganya pakubwaa mno
Mweke hapa tumwone mkuu.Huyu kule twitter kuna mbongo anawapiga watu kwa kutumia picha zake anajiita Reyna farm co Ltd π alafu hapo umetupiga, shamba hekta 6 bado amegawa kwa mazao mbalimbali alafu eti mahindi gunia 10,000 mchele gunia 8,000? Sijui na mazao mengine? Eti anamiliki BMW4 , mercedez.. umejuaje? πππ
Anatumika kutakatisha pesa za wakubwa tu,no kweli lakini sio kwa mtaji huo alionao sasa!Huyo ni content creator sio mkulima makini , anajipost kila muda yaani simuelewi kabisa .
Ni kama anaishi kwao huko ila kutwa anapiga picha mashambani , sasa angalia nguo zake ndio utajua kama ni mkulima kweli au mzugaji .Anatumika kutakatisha pesa za wakubwa tu,no kweli lakini sio kwa mtaji huo alionao sasa!
Kuna watu nyuma yake,ni SAWA na wale madem wanaojenga magorofa makubwa hapa town!
Ni muongo wa kutupwaKwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.
Unatuchukuliaje mzee
Sahihi hicho kittakuwa kilimo cha kulima kwenye TiktokKwa hizo hekari 6 labda kama ni kilimo cha makaratasi.
Hauwezi pata gunia 10,000 kwenye hekari 6π
Daa nilitaka kushangaa hata mimi huwa namuona kama mbongo. Ila picha zake zimetapakaa dunia nzima kwa sasa. Sio ajabu kesho ukaambiwa ni mkenya aliyekimbilia texas kujitafutia kipato kwenye mashamba huko.Huyu dada uliyomuweka hapo ni mtanzania,ufanye research kabla ya kupost
Ni mbongo anapost picha hizo kwa kijidai ndio Muhusika. Msijekutuma pesaParody anaongea kiswahil!
Huyo bint mwenyewe ni mbongo na anaongea kiswahili safi,anaitwa rayna ngomuo,ni mchagaNi mbongo anapost picha hizo kwa kijidai ndio Muhusika. Msijekutuma pesa