Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Mtanzania huyo. Huko Bukinabe hawavai kanga za Tanzania na pia hawapiki ugali na masufurianya mia tano shambani.Nilipomuona nilijua mtu wa Arusha au Manyara kumbe bukinafaso.
Warembo wa Bongo wakianza kilimo watapata utajiri sana maana huyu dada anatrend sana msimu huu.
Sasa ukizingatia FB wanalipa kwa views.
Namfahamu huyo dogo. Ni mdogo wake na rafiki yangu na mate wangu wa SUA Mpambanaji Juma Ngumuo. N familia ya Kilimo na kaka yake ndio mentor wake kwenye kilimo.Nadhani mleta mada alipofanyia research ni hapa π
https://www.facebook.com/
View: https://m.facebook.com/story.php/?story_fbid=9074331942583040&id=3327288547287437
Na sisi tunachokijua ni hichiπ
Login β’ Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.www.instagram.com
So.... Which is which? π₯΅π₯΅
Sijamaliza Uzi baada ya kuona uongo wa kutuona hatujui kitu kuhusu kilimo.Kwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.
Unatuchukuliaje mzee
Kwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.
Unatuchukuliaje mzee
Hili swali nimejiuliza nikajikuta nacheka tu.Kwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.
Unatuchukuliaje mzee
Kuamini kama ni mbongo ni kazi kwa sababu angeshahojiwa na online TV na pia akina Bashe na Kirenga wangeshamtumia katika kupush agenda zaoMbongo huyo
Duh! Mzee hata picha huoni? Yaani huoni hizo hela ni za kibongo? Aisee kweli Kuna watu ni wabishi tu by nature.Kuamini kama ni mbongo ni kazi kwa sababu angeshahojiwa na online TV na pia akina Bashe na Kirenga wangeshamtumia katika kupush agenda zao
πππππππDuh! Mzee hata picha huoni? Yaani huoni hizo hela ni za kibongo? Aisee kweli Kuna watu ni wabishi tu by nature.
Hahahahahaha hata mie nimejiuliza saaana hilo swali, jamaa anatuona sie wote watoto wenzieKwamba kwenye hekta 6 humohumo kavuna gunia 10,000 za mahindi, gunia 8,000 za mchele, gunia 5,000 za karanga.
Na kwenye hekta 6 hizohizo bado kuna nafasi ya kilimo cha mazao ya viwandani. Na bado ana mifugo.
Unatuchukuliaje mzee
Ni kweli. Hizo ni sawa na heka 15. Tanza ia wanaoweza kulima mahindi hutoa heka 25. Hivyo 25 *15= 375.Kwa hizo hekari 6 labda kama ni kilimo cha makaratasi.
Hauwezi pata gunia 10,000 kwenye hekari 6π