SWAT, FBI na CIA nini tofauti ya hizi taasisi?

Wewe jamaa ukubali tu..umezidiwa ujuzi..Ni ngumu kujua kila kitu
 
Wote hao wapo chini ya Homeland Security...Director wa hii taasisi ndio ana organise reports zote za mashirika mengine kwa ajili ya briefing kwa Rais daily
Hapana, FBI ipo chini ya Department of Justice, wakati CIA ipo chini ya Director of National Intelligence, ambayo ni cabinet level office; haiko chini ya wizara yoyote.
 
Counter intelligence ni jukumu la FBI pia, hivyo hufanyika sirini.
 
Counter intelligence ni jukumu la FBI pia, hivyo hufanyika sirini.
Ndani ya FBI kuna section ya intelligence inaitwa Intelligence Branch IB ambayo ndiyo inashughulikia kuzuia uharifu kabla haujafanyika.
 
Ndani ya FBI kuna section ya intelligence inaitwa Intelligence Branch IB ambayo ndiyo inashughulikia kuzuia uharifu kabla haujafanyika.
Hata kukamata majasusi kutoka nchi hasimu na hata nchi washirika (counter intelligence) ni kazi ya FBI pia, hapo FBI ina act kama intelligence agency ila ni 'domestic intelligence'.

Na hiyo kazi hufanyika kwenye usiri Sana kuwabaini wahusika.
 
SAS je?

Navy Seal Six
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…