Swaumu yanitesa!

<br />
<br />
umenikumbusha mbali sana,mambo yakutwa kobe,hii niliiexperience sana tanga digo land kule horohoro,duga,zingibari,moa,mwakijembe,mtimbwani,maramba nk,walituita makobe sisi ambao hatujafunga.jioni unaletewaBEMBE na binti wa kidigo kolekole wa kukaanga au sewa,mkono wa tembo,mababuji na vibibi plus tambi,chai ya iliki na uji wa pilipili,we acha mambo ya mfungo,ukigonga futari unafidia na mchana,baada ya futari ni msururu wa watu kwenda pwani(wangwani)kujisaidia no choo hapo ni mwendo wa kujisaidia kwenye mikoko,kutawaza baharini,pwani nomaaaaa!
 

Hahahahah hata Ugunja ni hivyo!
 
dah! Nahisi kama siku zinakimbia kwa spidi ya ajabu.
 
Hahahahah hata Ugunja ni hivyo!
<br />
<br />
we acha tu!tuliteseka sana tulipopata nyumba yenye choo tulimshukuru mungu,ilipokuwa inafika jion wenyeji wenyewe wadigo hawatumii choo wanadai kuna majini,wengine hata kama kwao choo kipo hakitumii wanadai raha kunya baharini,wasiokuwa na vyoo wakiambiwa wajenge wanadai hawana hela za kuchezea,hawawezi kuyajengea mavi nyumba,yaani digo ni tabu tupu,nafikiri shule nayo ni tatizo asilimia kubwa watu hawajenda shule wengi ni wavuvi.
 
funga swaumu bana!

Sawa baba mchungaji tangu mwanzo sio kwamba sikukuelewa ila tatizo langu ni kwamba unapolazimika kufunga na ukafunga kwasababu tu ya mazingira fulani si ni kwamba umefungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…