much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Samuyawao ama wewe?
Samuyawao ama wewe?
We kijana mkorofi weweee😂😂😂Una miaka mingapi samahani
Waende tu hatutaki ushoga nchiniDaah kazi ipo hapo hao wanaenda pamoja na Denmark,Norway tutasikia matamko yao..
Kwa nini wanasubiri mbali kote huko ? Kwa nini wasifanye sasa ? wanataka wapate nini mpaka wakati huo ?Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo.
Sweden imesema uamuzi huu unatokana na mabadiliko ya vipaumbele vya sera za kimataifa, na changamoto mpya za kiusalama nchini Tanzania (new security challenges). Hata hivyo Sweden imesema uamuzi huu wa kusitisha uhusiano wake na Tanzania hauhusiani na matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini Tanzania.!
Mimi sio ccm. Mimi ni mtanzania.Akili wazipendazo ccm
Mdogo wangu Xiao qui shui ana miaka 19 😁 I mean no m to no b
Daaah ushaanza uongo wako mkuu unataka niachwe nini?Mdogo wangu Xiao qui shui ana miaka 19 😁 I mean no m to no b
Haaa
Kashajibu huko...We kijana mkorofi weweee😂😂😂
Hamna kaka, ww hapo katia mtego m1 mkali sana kumbe bado haujashtuka 🤣Daaah ushaanza uongo wako mkuu unataka niachwe nini?
Huo utani wa ngumi kaka🤣
Hahaha mbona tunawasiliana daily na yeye ashaniuliza hilo swali and already told herKashajibu huko...
nakusaidia kuongea maana wewe unazembeag sana ww, toto zembe sana ww 😁🤣🤣😎🤏
Mmmmh weee ni mkubwa mkuu picha yake ninazo🤣Hamna kaka, ww hapo katia mtego m1 mkali sana kumbe bado haujashtuka 🤣
Mtoto miaka 18 yule 🤣🤣🤣
Nitumie inboxMmmmh weee ni mkubwa mkuu picha yake ninazo🤣
Aweee tulia kwanzaasNitumie inbox