KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Wakaanza kudai na shuleni menu zibadilishwe, nguruwe wasiwepo kwenye menu.Shida ya hawa jamaa huwa wanajisahau
Kinachowapeleka kwa Wanaowaita Makafiri ni nini?Wasiishie kwa Wairaq tu, wasake wavaa maobaz wote.
Hata wa kutoka Lamu na Mombasa?Wasiishie kwa Wairaq tu, wasake wavaa maobaz wote.
Makafiri kwao kutamu. Kwanini hawaendi kwenye nchi zenye utamaduni kama wao? Utamaduni wa kumpiga mawe shetaniKinachowapeleka kwa Wanaowaita Makafiri ni nini?
unaweza kutuletea ushahidi wa kuchomwa kanisa moja tu huko Sweden ?? ninavyofahamu makanisa yanauzwa kwa waislamu huko sweden hayana watuView attachment 3120461Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17.
Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku , mashambulizi ya kigaidi na uchomaji wa makanisa yao ya asili ukiendelea kutokana na hawa wahamiaji haramu! Pili baadhi ya nchi 53 za Afrika zimeongezewa mashart kupata visa Kwenda Sweden, isipokuwa nchi Tatu Tu, Rais wa Tanzania , Botswana na Kenya ndo mashart yamebaki yale Yale Je, unaunga mkono hatua hii kutoka Uswidi?
🤣🤣🤣 wajukuu wa mudi wanapitia manyanyaso sana kwenye hii dunia. Sema nao hawapoii, kila visanga wamoWasiishie kwa Wairaq tu, wasake wavaa maobaz wote.
Mtu unatoka Nchini kwako unaenda kwenye Nchi ya Makafiri wenye ranch za nguruwe kila kona na supermarket zilizojaa hizo Haram, Bar kila kona na kila aina ya kilevi kipo, Viwanda vya kurekodi Pornograph, Night Clubs n.k unaacha kwenda kwenye nchi zenye Waislam zinazoongozwa na Sharia za Kiislam 🤣🤣🤣
Mbaya zaidi, unapeleka sheria na tamaduni zako kuanzia mavazi n.k 🤣🤣
Ukiondolewa Unalalamika na kulialia
Si Mrudi Iraq? Si kuna Lebanon, Egypt, Saudi Arabia, Oman na Yemen?
Mnatafuta nini kwa Wagalatia??
Nendeni mkajazane irani ama iraki na yemeni. Mnafuata nini ulaya kwa makafiri?Nchi ipi ni ya wagalitia ??
Wewe tumekuzoea
Makanisa yanauzwa Sweden na kugeuzwa misiskiti
na wewe unaweza ukathibitisha hicho unachokifahamu? (source)unaweza kutuletea ushahidi wa kuchomwa kanisa moja tu huko Sweden ?? ninavyofahamu makanisa yanauzwa kwa waislamu huko sweden hayana watu
Source ya habari yako tafadhali au chuki zimewazidi ??
Hapo Zanzibar tu tumeshuhudia makanisa yakichomwa, au napo tuna chuki kusema mnachoma makanisa na kuwapiga wasiotii imani yenu?unaweza kutuletea ushahidi wa kuchomwa kanisa moja tu huko Sweden ?? ninavyofahamu makanisa yanauzwa kwa waislamu huko sweden hayana watu
Source ya habari yako tafadhali au chuki zimewazidi ??
Juzi wamezingua Canada, wakaanza kudai kitimoto iondolewe katika orodha ya vyakula mashuleni. Serikali ikawajibu wawe na nidhamu na tamaduni na taratibu za watu. Kama wameukuta huo utaratibu wana wajibu wa kuufuata, kama hawawezi wanaweza wakaondoka.Wakaanza kudai na shuleni menu zibadilishwe, nguruwe wasiwepo kwenye menu.
Wakaulizwa Mnataka tufuate utamaduni wenu?
walijibuje?Wakaanza kudai na shuleni menu zibadilishwe, nguruwe wasiwepo kwenye menu.
Wakaulizwa Mnataka tufuate utamaduni wenu?