Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
tabia ni kama mkia popote uendapo itakufataShida ya hawa jamaa huwa wanajisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tabia ni kama mkia popote uendapo itakufataShida ya hawa jamaa huwa wanajisahau
Ritz, FaizaFoxy, The Boss na THE BIG SHOW hawa hawana nongwa, wanakula kitimoto kwa raha zao, sema tu hawajitangaziJuzi wamezingua Canada, wakasnza kudai kitimoto iondoleww katika oridha ya vyakula mashuleni. Serikali ikawajibu wawe na nidhamu na tamaduni na taratibu za watu. Kama wameukuta hui utaratibu wana wajibu wa kuufuata, kama hawawezi wanaweza wakaondoka.
Inshallahwalijibuje?
Wagalatia wana maisha matamu kuliko ya peponiMtu unatoka Nchini kwako unaenda kwenye Nchi ya Makafiri wenye ranch za nguruwe kila kona na supermarket zilizojaa hizo Haram, Bar kila kona na kila aina ya kilevi kipo, Viwanda vya kurekodi Pornograph, Night Clubs n.k unaacha kwenda kwenye nchi zenye Waislam zinazoongozwa na Sharia za Kiislam 🤣🤣🤣
Mbaya zaidi, unapeleka sheria na tamaduni zako kuanzia mavazi n.k 🤣🤣
Ukiondolewa Unalalamika na kulialia
Si Mrudi Iraq? Si kuna Lebanon, Egypt, Saudi Arabia, Oman na Yemen?
Mnatafuta nini kwa Wagalatia??
Hata wa kutoka Lamu na Mombasa?
Wewe nae ni mmoja wao..unaweza kutuletea ushahidi wa kuchomwa kanisa moja tu huko Sweden ?? ninavyofahamu makanisa yanauzwa kwa waislamu huko sweden hayana watu
Source ya habari yako tafadhali au chuki zimewazidi ??
Naunga mkono 100%View attachment 3120461Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17.
Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku , mashambulizi ya kigaidi na uchomaji wa makanisa yao ya asili ukiendelea kutokana na hawa wahamiaji haramu! Pili baadhi ya nchi 53 za Afrika zimeongezewa mashart kupata visa Kwenda Sweden, isipokuwa nchi Tatu Tu, Rais wa Tanzania , Botswana na Kenya ndo mashart yamebaki yale Yale Je, unaunga mkono hatua hii kutoka Uswidi?
Tatizo alilianzisha Yule jamaa aliyeoa kabinti ka miaka sitaWaarabu majinga sana
Naunga mkono 100%
Yule pia aliiga kwa mpuuzi mmoja anaitwa allah.Tatizo alilianzisha Yule jamaa aliyeoa kabinti ka miaka sita
Yule pia aliiga kwa mpuuzi mmoja anaitwa allah.
Ni sawa, lazima nchi ilinde maslahi ya watu wake. Kama mgeni analeta fujo, arudi kwaoView attachment 3120461Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17.
Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku , mashambulizi ya kigaidi na uchomaji wa makanisa yao ya asili ukiendelea kutokana na hawa wahamiaji haramu! Pili baadhi ya nchi 53 za Afrika zimeongezewa mashart kupata visa Kwenda Sweden, isipokuwa nchi Tatu Tu, Rais wa Tanzania , Botswana na Kenya ndo mashart yamebaki yale Yale Je, unaunga mkono hatua hii kutoka Uswidi?
Kwetu mademu ndio washobokaji wakubwa wa wageniNi sawa, lazima nchi ilinde maslahi ya watu wake. Kama mgeni analeta fujo, arudi kwao
Wazungu hawana akili kama hizo hawawezi kulazimusha mtu mwenye karatasi sahihi kulejeshwa makwao, soma habari kwa undani sio kukurupuka chuki zako, wazungu ni wahalufu kuliko wa iraq katika murder na ubakaji.View attachment 3120461Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17.
Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku , mashambulizi ya kigaidi na uchomaji wa makanisa yao ya asili ukiendelea kutokana na hawa wahamiaji haramu! Pili baadhi ya nchi 53 za Afrika zimeongezewa mashart kupata visa Kwenda Sweden, isipokuwa nchi Tatu Tu, Rais wa Tanzania , Botswana na Kenya ndo mashart yamebaki yale Yale Je, unaunga mkono hatua hii kutoka Uswidi?
Pole sana, mpaka wamekubaka mara ngapi?Wazungu hawana akili kama hizo hawawezi kulazimusha mtu mwenye karatasi sahihi kulejeshwa makwao, soma habari kwa undani sio kukurupuka chuki zako, wazungu ni wahalufu kuliko wa iraq katika murder na ubakaji.
Mvaa kobaz hata utaifa, akishaingia kwenye huo uzombi ndio basi, hata angekua ndugu yangu afukuzwe tu.