Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

View attachment 3120461Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17.

Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku , mashambulizi ya kigaidi na uchomaji wa makanisa yao ya asili ukiendelea kutokana na hawa wahamiaji haramu! Pili baadhi ya nchi 53 za Afrika zimeongezewa mashart kupata visa Kwenda Sweden, isipokuwa nchi Tatu Tu, Rais wa Tanzania , Botswana na Kenya ndo mashart yamebaki yale Yale Je, unaunga mkono hatua hii kutoka Uswidi?
Naunga mkono hoja. Wawafukuze wote.
 
Hao wavaa kobazi tabia zao nikama wasukuma,wasukuma wakiingia sehemu wanataka lugha yao ndo itumike tu na miziki yao Basi afu watajirike wao tu 😂 😂😂,
Mtu unatoka Nchini kwako unaenda kwenye Nchi ya watu Makafiri wenye ranch za nguruwe kila kona na supermarket zilizojaa hizo Haram, Bar kila kona na kila aina ya kilevi kipo, Viwanda vya kurekodi Pornograph, Night Clubs n.k unaacha kwenda kwenye nchi zenye Waislam zinazoongozwa na Sharia za Kiislam 🤣🤣🤣

Mbaya zaidi, unapeleka sheria na tamaduni zako kuanzia mavazi n.k 🤣🤣

Ukiondolewa Unalalamika na kulialia

Si Mrudi Iraq? Si kuna Lebanon, Egypt, Saudi Arabia, Oman na Yemen?

Mnatafuta nini kwa Wagalatia??
Zao
 
Warudi kwao wakajenge nchi zao.
Wasomi hawawarudishwi hata siku moja na Ulaya kwenye mahospitali, ma university wamejaa wengine ni viongozi wa vyama vikubwa Kama Denmark , Sweden, Uk
Waziri wa elimu Sweden alikuwa muiraq, Waziri wa viwanda pia, Denmark Kiongozi wa chama kikubwa ni muarabu huko Sweden kiongozi wa chama kikubwa pia ni Muislamu, Mturuki
 
Muslims kila wanapo kwenda lengo lao ni kuanzisha Islamic State kwa lazima.
Hawawezi kabisa kuvumilia utamaduni wa wengine hiyo ndio kasoro yao.
Ninacho shangaa ni kulazimisha kwa nguvu wengine wawe kama wao.
Muslims wanao ihama hiyo dini huwa wanachukiwa sana hicho kitendo wanaona ni bora wakuchunje kuliko kuuhama Uislamu.
Yaani wanafanya sawa sawa na vikundi vya Satanic Cults.
Wewe una Dini yako ya haki na Mungu wako wa Ukweli Allah na Mtume wako Muhammadi, kwanini usitulie na kuridhika ?
La, tutawatofautishaje ni Satanic Cults ?
 
View attachment 3120461Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17.

Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku , mashambulizi ya kigaidi na uchomaji wa makanisa yao ya asili ukiendelea kutokana na hawa wahamiaji haramu! Pili baadhi ya nchi 53 za Afrika zimeongezewa mashart kupata visa Kwenda Sweden, isipokuwa nchi Tatu Tu, Rais wa Tanzania , Botswana na Kenya ndo mashart yamebaki yale Yale Je, unaunga mkono hatua hii kutoka Uswidi?
Sweden na nchi zote za dunia ya kwanza hiwa wanajitahidi sana kulinda sheria za kimataifa na haki za binaadamu, utakuja kesho kutupa majibu hilo zoezi sweden hawatolitekeleza
Si unakumbuka rwanda deal ya uingereza imeishia wapi? Si kaingia huyu waziri mkuu mpya kaitupilia mbali, na rwanda alishalipwa hela kasema harudishi
 
Juzi wamezingua Canada, wakasnza kudai kitimoto iondoleww katika oridha ya vyakula mashuleni. Serikali ikawajibu wawe na nidhamu na tamaduni na taratibu za watu. Kama wameukuta hui utaratibu wana wajibu wa kuufuata, kama hawawezi wanaweza wakaondoka.
Juzi wamechoma kanisa kubwa sana Canada.

Report says kuanzia 2020 hadi sasa wamechoma makanisa 100, yaan Canada na France wanakula chuma kwa kuwakubali hao watu nchini kwao.
 
Back
Top Bottom