Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

Sweden na nchi zote za dunia ya kwanza hiwa wanajitahidi sana kulinda sheria za kimataifa na haki za binaadamu, utakuja kesho kutupa majibu hilo zoezi sweden hawatolitekeleza
Si unakumbuka rwanda deal ya uingereza imeishia wapi? Si kaingia huyu waziri mkuu mpya kaitupilia mbali, na rwanda alishalipwa hela kasema harudishi
Mzee kinachoendelea ulaya asaiv ni issue serious, wameshtuka, France wame deport sheikh siku hiohio aliyesema hapendi tamaduni za kifaransa, Italy wame deport sheikh flani maarufu sana ndani ya masaa12 walimrudisha Iraq alisema Italy ina tamaduni za kishetani, yaan mzee asaiv wazungu wameshtuka kwasababu wanaona kinachowakuta France, Canada na UK. Tena UK ndo nawaonea huruma maana hali mbaya sana.

Wameshtukia kitu waislamu wanachokiita "Islamization of Europe"
 
Warudi Kwao wakajenge Nchi Yao.
Hata Wasweeden walijenga Nchi Yao ndio maana Wakapata hifadhi
Shida ni kwamba hawa waarabu waiislamu wanaharibu kwao.. then wanaomba hifadhi palipo tulia ama penye amani.. baada ya muda pale penye amani walipokimbilia wanataka wapachague pawe kama huko walipotoka.
E.g wasomali na kenya
 
Wewe Jagina, kila mchango wako humu lazima uzungumzie Ushoga.
Ushoga Neno ambalo lina ukakasi hata kulitaja tu.
Unaonekana upo humu kuupigia debe Ushoga na kwa komenti zako wewe utakuwa Shoga 100%.
Kabisa mkuu ujue Kuna baadhi ya maneno ukiwa mwanaume uliyekamilika kuyataja tu unaona jau kwahiyo ukimuona mtu Kila mara anatamka tamka hayo maneno Badi ujue shida Iko mahali.
 
Mzee kinachoendelea ulaya asaiv ni issue serious, wameshtuka, France wame deport sheikh siku hiohio aliyesema hapendi tamaduni za kifaransa, Italy wame deport sheikh flani maarufu sana ndani ya masaa12 walimrudisha Iraq alisema Italy ina tamaduni za kishetani, yaan mzee asaiv wazungu wameshtuka kwasababu wanaona kinachowakuta France, Canada na UK. Tena UK ndo nawaonea huruma maana hali mbaya sana.

Wameshtukia kitu waislamu wanachokiita "Islamization of Europe"
MAss deportatation hawawezi kutekeleza kwa sababu hao watu wengi wao wana legal papers za kuishi sehemu husika, utamdeport mtu ambaye hana makaratasi hata trump alikuwa na chuki na wageni ila alishindwa kuwafukuza kama alivyodai ,mexicans ndio wengi wapo kinyume na sheria ila waafrika wengi na waarabu wana makaratasi
 
Mzee sawa naweza kukubaliana na wewe, ila unasahau kitu kinachoitwa "forced deportation".
Mfano mzuri ni Germany, wanataka wafurumishe wahamiaji wote na watoto wao, yaan kuanzia babu, baba na mtoto, regardless of your citizenship status, ndio sio wote wanakubaliana na hilo swala kweny uongozi wa ujerumani but viongozi wengi wa juu wanaona ni mpango mzuri, Chancellor Olaf amepinga ilo swala la forced mass deportation but chama pinzani AfD kimesema "that's a promise" wamesema pia wakishika nchi watahakikisha kina deport wahamiaji wote wasiokuwa asili ya kijerumani especially Muslims.
German 'remigration' debate fuels push to ban far-right AfD – DW – 01/12/2024

So usiseme hawawez, wakiamua wanaweza, ni nchi yao wakiamua wanafanya.
 
Hawa wazungu na dunia ya kwanza huwa wanajisifia na wamejiwekea heshima na misingi kama human right and democracy protectors duniani, wakituelekeza ,kutufundisha na kututishia kuhusu human rights ,wanapofanya tofauti na wanachoimba kila siku kwa nchi nyingine watakosa credibility ya kumfokea mtu mwingind kuhusu hilo na wataharibu historia na heshima yao waliojiwekea miaka mingi, ndio maana right wing siku zote huwa wanapiga mikwara hiyo ila wanashindwaga kutekeleza kwa sababu pia mahakama zao zipo huru huwa haziendeahwi sana na wanasiasa ,na hicho ulichosema ni ilegal hawataweza kufanya hata siku moja, mark my words
 
Juzi wamezingua Canada, wakasnza kudai kitimoto iondoleww katika oridha ya vyakula mashuleni. Serikali ikawajibu wawe na nidhamu na tamaduni na taratibu za watu. Kama wameukuta hui utaratibu wana wajibu wa kuufuata, kama hawawezi wanaweza wakaondoka.

sasa kwanini wao wamagharibi wanalazimisha tamaduni zao kwenye nchi watu ikiwa zao wao wanazilinda?
 
View attachment 3120461Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17.

Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku , mashambulizi ya kigaidi na uchomaji wa makanisa yao ya asili ukiendelea kutokana na hawa wahamiaji haramu! Pili baadhi ya nchi 53 za Afrika zimeongezewa mashart kupata visa Kwenda Sweden, isipokuwa nchi Tatu Tu, Rais wa Tanzania , Botswana na Kenya ndo mashart yamebaki yale Yale Je, unaunga mkono hatua hii kutoka Uswidi?
uingereza pa kuna wapakistani wengi sana sana ambao wana uraia kabisa, ila wanabaka sana wazungu na wanapenda watoto watoto. hii dini kumbe huwa haiwasaidii kabisa zaidi ya kuwafanya wawe fanatic na kuwaelekeza motoni tu.
 
Sasa hivi hata zile meseji za kujulishwa kuwa mda wako wa viza unakaribia kuisha awatumi Ili siku ukifika tu unaona polisi mlangoni wanakubeba juujuu hadi airport awataki mchezo sasa hivi, Kuna wengine wale wanajifanya awajui hata kwao ni wapi hata jina ajui ila anachokumbuka kuwa lilipigwa bomu anakuja kuzinduka anajikuta ulaya awa jamaa Wana vituko sana wanaujua msoto ulivyo mkali ila wanaleta habari za kupaka rangi
 
Back
Top Bottom