eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Makaratasi nini kwenye nchi ya watu ndugu? Wakiamua unaondoka tu. Huwa ni rahisi sana. Wanatunga sheria ya ku revoke citizenship; kwisha habari. Umesahau yule binti mwingireza mwenye asili ya Syria? Soma hii: Ms Begum was stripped of her British citizenship on national security grounds in 2019 by the then-Home Secretary Sajid Javid, leaving her unable to return to the UK. She remains in a camp controlled by armed guards in northern Syria.7 Aug 2024"
Vifungu vipo kabisa, kwamba mtu alipewa karatasi na akazingua. Karatasi linachukuliwa na unarudishwa kwenu kwa lazima.