View attachment 3120461Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa wakiishi Uswidi kwa miaka 17.
Sweden imechukua hatua hizi baada ya kuona watoto wao wanabakwa kila siku , mashambulizi ya kigaidi na uchomaji wa makanisa yao ya asili ukiendelea kutokana na hawa wahamiaji haramu! Pili baadhi ya nchi 53 za Afrika zimeongezewa mashart kupata visa Kwenda Sweden, isipokuwa nchi Tatu Tu, Rais wa Tanzania , Botswana na Kenya ndo mashart yamebaki yale Yale Je, unaunga mkono hatua hii kutoka Uswidi?