The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Maisha sasa hivi Sweden na Finland kwa wahamiaji (Foreigners) ni magumu sana kupita maelezo.
Kuna njaa kali sana na hii serikali zao zinafanya maksudi kwa kubana na kukaza ili tu kuzuia wahamiaji.
Kazi za kubeba box zimekuwa ngumu hata za kufagia tu zimekuwa za kugombania na siyo full time masaa matatu zingine masaa mawili na ni hadi connections.
Miaka mitatu tu iliyopita kazi za usafi makampuni yalikuwa yanatafuta watu wa kufanya kazi hadi walikuwa wanakupa hela kakama laki nane tzs bure za mwanzo kwasababu watu wengi walikuwa wanafanya food delivery ambayo ilikuwa inawaingizia hela nyingi.
Sasa hivi hata hiyo food delivery kuipata nayo ngumu kwa masharti magumu ya maksudi tu serikali kuweka kisa wahamiaji walikuwa wana make hadi 10k euros per month.
Pia social benefits wamefanya kupata ngumu na kufanya wahamiaji wengi kuishi maisha ya dhik8 na kutegemea misaada ya kanisa na wahisani.
Baada ya miaka mitano watu watazitoroka ama self deport kutoka Sweden na Finland.
Na ndio hivyo wanataka kufanya ngumu ili isiwaaatract wakimbizi waje huku.
Wanafunzi nao wanapitia wakati mgumu siyo kama zamani . Sasa hivi wanajilipia karo na malazi siyo kama zamani bure na kazi pia ni za shida.
Nyau de adriz