The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
- Thread starter
- #21
Sifa mkuu uko ulaya.Sasa kama hizo qualification zao hazitambuliki kwanini wakajazane huko? Wanaona bora wakateseke kwenye nchi tajiri ?
Sifa mkuu uko ulaya.Sasa kama hizo qualification zao hazitambuliki kwanini wakajazane huko? Wanaona bora wakateseke kwenye nchi tajiri ?
Si unaona mkuu. Na sisi wahamiaji tuna makosa sana. Angalia hapa sub saharans wanavamia border ya spain 2014.Sifa mkuu uko ulaya.
WE MBONA HURUDI??Maisha sasa hivi Sweden na Finland kwa wahamiaji (Foreigners) ni magumu sana kupita maelezo.
Kuna njaa kali sana na hii serikali zao zinafanya maksudi kwa kubana na kukaza ili tu kuzuia wahamiaji.
Kazi za kubeba box zimekuwa ngumu hata za kufagia tu zimekuwa za kugombania na siyo full time masaa matatu zingine masaa mawili na ni hadi connections.
Miaka mitatu tu iliyopita kazi za usafi makampuni yalikuwa yanatafuta watu wa kufanya kazi hadi walikuwa wanakupa hela kakama laki nane tzs bure za mwanzo kwasababu watu wengi walikuwa wanafanya food delivery ambayo ilikuwa inawaingizia hela nyingi.
Sasa hivi hata hiyo food delivery kuipata nayo ngumu kwa masharti magumu ya maksudi tu serikali kuweka kisa wahamiaji walikuwa wana make hadi 10k euros per month.
Pia social benefits wamefanya kupata ngumu na kufanya wahamiaji wengi kuishi maisha ya dhik8 na kutegemea misaada ya kanisa na wahisani.
Baada ya miaka mitano watu watazitoroka ama self deport kutoka Sweden na Finland.
Na ndio hivyo wanataka kufanya ngumu ili isiwaaatract wakimbizi waje huku.
Wanafunzi nao wanapitia wakati mgumu siyo kama zamani . Sasa hivi wanajilipia karo na malazi siyo kama zamani bure na kazi pia ni za shida.
Nyau de adriz
Oya Nyangwisi hauwezi kaandika mada bila kuniTag mwehu wewe ?Maisha sasa hivi Sweden na Finland kwa wahamiaji (Foreigners) ni magumu sana kupita maelezo.
Kuna njaa kali sana na hii serikali zao zinafanya maksudi kwa kubana na kukaza ili tu kuzuia wahamiaji.
Kazi za kubeba box zimekuwa ngumu hata za kufagia tu zimekuwa za kugombania na siyo full time masaa matatu zingine masaa mawili na ni hadi connections.
Miaka mitatu tu iliyopita kazi za usafi makampuni yalikuwa yanatafuta watu wa kufanya kazi hadi walikuwa wanakupa hela kakama laki nane tzs bure za mwanzo kwasababu watu wengi walikuwa wanafanya food delivery ambayo ilikuwa inawaingizia hela nyingi.
Sasa hivi hata hiyo food delivery kuipata nayo ngumu kwa masharti magumu ya maksudi tu serikali kuweka kisa wahamiaji walikuwa wana make hadi 10k euros per month.
Pia social benefits wamefanya kupata ngumu na kufanya wahamiaji wengi kuishi maisha ya dhik8 na kutegemea misaada ya kanisa na wahisani.
Baada ya miaka mitano watu watazitoroka ama self deport kutoka Sweden na Finland.
Na ndio hivyo wanataka kufanya ngumu ili isiwaaatract wakimbizi waje huku.
Wanafunzi nao wanapitia wakati mgumu siyo kama zamani . Sasa hivi wanajilipia karo na malazi siyo kama zamani bure na kazi pia ni za shida.
Nyau de adriz
Oya nipe ABC nizamie mkoba tayari nineuchukua mpya hauna hata mwakaKwa wale mnaotaman kuja ulaya nawashauri mjaribu Slovania, Slovakia na Czechia. Atleast hizi nchi muhamiaji hasa mwanafunzi unaweza survive kwasababu kazi zipo na maisha ni cheap na kupata makaratasi yao siyo ngumu. Ila miaka inavyoenda wataanza kubana.
Mkuu sina pakuanzia halafu si unajua wabongo kwa kucheka na kudhihaki bora nikomae hukuhuku.WE MBONA HURUDI??
TAKBIIIR
Wewe mzee nataka chalii aje asome huko hela ya kumlipia Ada ipo anataka kusoma computer science ni Nchi gani imekaa poa sana kuhusu Elimu yao nilitaka asome stellenbosch sema sasa hivi wana vurugu sana za kubagua wageni hawa Wazulu hii ishu ya mwaka huu aisee..Mkuu sina pakuanzia halafu si unajua wabongo kwa kucheka na kudhihaki bora nikomae hukuhuku.
Sasa mangi wewe ni flight controller upo kwenye control Tower hapo si uniunganishie hata usafi tu.
Happiest Country 😅Sasa kama hizo qualification zao hazitambuliki kwanini wakajazane huko? Wanaona bora wakateseke kwenye nchi tajiri ?
Hali SI shwari ni kweli III kabisaMkuu haha nayoandika ni kweli. Hali siyo nzuri kwa wahamiaji sasa hivi.
Huku mkikumbatiana na demu wako kipenzi mwajuma ndala ndefu?Nikipunga upepo kutoka hapa Seol nchini South Korea, nawashauri wahamiaji mjalibu hata Japan na Uchina huko misosi ni mingi hasa nyoka, chora, panzi hata sisi Mijusi mtu huwezi kufa njaa kabisa.
MaraasssssOya Nyangwisi hauwezi kaandika mada bila kuniTag mwehu wewe ?
Mkuu 🙌 hii comment iwekewe lamination itunzwe museum 😁😁Ukute uko huko vijijini Tandahima ndani ndani huko afu umekaa nyuma ya keyboards za Tecno yako unatulisha matongopori eti uko Finland
Manesi vwana soko dunia nzimaMkuu huku siyo kama marekani. Wabeba boksi wote wana degrees na masters. Ni ngumu kupata kazi ya professional yako. Ni unesi tu. Na manesi wote wahamiaji unakuta walirudi kuusomea licha ya kuwa na degrees zao kwenye taaluma zingine.
Dogo usijali naandaa uzi hapa wa kutoa connections na advice ya kufika ulaya nchi za central Europe na Balkan states. Nitakutag kama kawaida yangu.Oya nipe ABC nizamie mkoba tayari nineuchukua mpya hauna hata mwaka View attachment 3533901
Hasa Marekani wanakunja hadi 100 usd kwa saa.Manesi vwana soko dunia nzima