Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
thank you 💕 💕
Kuwa na adabu huyo ni demu wa busu la kenge na vibaka wenzake naona wanamkataa kiaina na kunipakazia mzee wa kupapasa ukuta.Huku mkikumbatiana na demu wako kipenzi mwajuma ndala ndefu?
Nyau ww!
Mkuu kuna chuo kipo Germany kinaitwa Saarland university, hakina ada na wanatumia kiingereza. Vyuo vya ulaya vinakuwaga na changamoto ya kutotumia kiingereza.Wewe mzee nataka chalii aje asome huko hela ya kumlipia Ada ipo anataka kusoma computer science ni Nchi gani imekaa poa sana kuhusu Elimu yao nilitaka asome stellenbosch sema sasa hivi wana vurugu sana za kubagua wageni hawa Wazulu hii ishu ya mwaka huu aisee..
Nashukuru mkuu ngoja nikifatilie..Mkuu kuna chuo kipo Germany kinaitwa Saarland university, hakina ada na wanatumia kiingereza. Vyuo vya ulaya vinakuwaga na changamoto ya kutotumia kiingereza.
Vipi weewe Unrudi huku tuje kula vumbi pamoja?Maisha sasa hivi Sweden na Finland kwa wahamiaji (Foreigners) ni magumu sana kupita maelezo.
Kuna njaa kali sana na hii serikali zao zinafanya maksudi kwa kubana na kukaza ili tu kuzuia wahamiaji.
Kazi za kubeba box zimekuwa ngumu hata za kufagia tu zimekuwa za kugombania na siyo full time masaa matatu zingine masaa mawili na ni hadi connections.
Miaka mitatu tu iliyopita kazi za usafi makampuni yalikuwa yanatafuta watu wa kufanya kazi hadi walikuwa wanakupa hela kakama laki nane tzs bure za mwanzo kwasababu watu wengi walikuwa wanafanya food delivery ambayo ilikuwa inawaingizia hela nyingi.
Sasa hivi hata hiyo food delivery kuipata nayo ngumu kwa masharti magumu ya maksudi tu serikali kuweka kisa wahamiaji walikuwa wana make hadi 10k euros per month.
Pia social benefits wamefanya kupata ngumu na kufanya wahamiaji wengi kuishi maisha ya dhik8 na kutegemea misaada ya kanisa na wahisani.
Baada ya miaka mitano watu watazitoroka ama self deport kutoka Sweden na Finland.
Na ndio hivyo wanataka kufanya ngumu ili isiwaaatract wakimbizi waje huku.
Wanafunzi nao wanapitia wakati mgumu siyo kama zamani . Sasa hivi wanajilipia karo na malazi siyo kama zamani bure na kazi pia ni za shida.
Nyau de adriz
Mkuu GT bora njaa na baridi kuliko njaa na vumbi.Vipi weewe Unrudi huku tuje kula vumbi pamoja?
😀😀😀😀Mkuu GT bora njaa na baridi kuliko njaa na vumbi.
Mkuu naomba kujua chimbo jipya na mimi hata kama ni PM mkuu please 🙏Ulaya imejaa wahamiaji haramu kwa sasa kila muafrika/muAsia anakimbilia huko na kuwajaza ndugu zake, oyaa weeh kwa sasa machimbo yamebadirika tuende na muda jamani... Tusikalili maisha mbona hatufuatilii habari
Na mishahara kama huyo anayefagia au mfagiaji kama atafanya kazi masaa matatu kwa siku mara nne kwa wiki analipwa sh ngapi? fedha ya kibongoMkuu sisi tuliokuja zamani na tuna sheria kubwa passport angalau. Ila mambo yamebadilika. Unakuta kuna watu wenye degree hadi masters kutoka afrika wanagombania kazi za kufagia.
Kuna jamaa kutoka Ghana ana masters ya chemical engineering anapiga fagio masaa matatu kwa siku mara nne kwa wiki.