The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Hahahahahaaaaa ondoa hofu niko ground.Ukute uko huko vijijini Tandahima ndani ndani huko afu umekaa nyuma ya keyboards za Tecno yako unatulisha matongopori eti uko Finland
Mkuu haha nayoandika ni kweli. Hali siyo nzuri kwa wahamiaji sasa hivi.Sweden ya gongo la mboto
Mkuu sisi tuliokuja zamani na tuna sheria kubwa passport angalau. Ila mambo yamebadilika. Unakuta kuna watu wenye degree hadi masters kutoka afrika wanagombania kazi za kufagia.Noted, kila la kheri uko ulipo...
Chaka la kueleweka Huwa ni marekani TU! Ingawa nako trump kaanza kuleta unokoMkuu haha nayoandika ni kweli. Hali siyo nzuri kwa wahamiaji sasa hivi.
Mkuu huku siyo kama marekani. Wabeba boksi wote wana degrees na masters. Ni ngumu kupata kazi ya professional yako. Ni unesi tu. Na manesi wote wahamiaji unakuta walirudi kuusomea licha ya kuwa na degrees zao kwenye taaluma zingine.Sasa mkuu hao wahamiaji wengi wao utakuta ni unskilled, welfare za walipa kodi waliovuja jasho wanataka za nini?
Nasikia wahamiaji weusi waliopigika na maisha huko ulaya wanafanya uhalifu. Wengine hawataki kubadili tamaduni(haswa waislamu).
Wanavamia mipaka ya Spain na Italy mara kwa mara. Sio wastaarabu na wana hulka za ukorofi na ubishi.
Na ndio maana ulaya, marekani, canada na oceania wameanza kuchoka wahamiaji kutoka nchi masikini mkuu.
Wahamiaji wanapenda vitonga, hawataki kubaki kwenye nchi zao na kuziendeleza.
Sasa kama hizo qualification zao hazitambuliki kwanini wakajazane huko? Wanaona bora wakateseke kwenye nchi tajiri ?Mkuu huku siyo kama marekani. Wabeba boksi wote wana degrees na masters. Ni ngumu kupata kazi ya professional yako. Ni unesi tu. Na manesi wote wahamiaji unakuta walirudi kuusomea licha ya kuwa na degrees zao kwenye taaluma zingine.
Rudi bongo life Safi mzee.Ila kobaz una vituko. Hebu kula chuma hicho. Pork ribs maamae.
View attachment 3533856
Nyau de adriz